Konda

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Konda:Hi-beibi
Dem:poa bby
Konda:mwangalie huyu naye mi namwambia haibebi ye ananijibu
baby!

Abiria:konda washa gari tunaharaka
Konda:mgeanza safari jana
Abiria:sitaki siti ya nyuma
Konda:kwani ya nyuma ipo nje ya gari?basi kaa mbele dereva ashuke.
Abiria:fugueni madirisha humu kuna joto sana
Konda:shuka upande friji
Abiria:mpaka mbagala sh ngapi?
Konda:400
Abiria:nina shilingi 200
Konda:hiyo nunua parachichi upake takoni uteleze mpaka mbagala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom