Komu vs Mary Chitanda

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Uchaguzi wa Meya Arusha urudiwe.

Kama CCM wanang'angania Mary Chitanda apige kura, basi na CHADEMA wamlete mbunge wao kama KOMU au Christina
 
Anna Komu yupo CHADEMA, na CHADEMA ni chama makini, hakiko tayari sheria inapindishwa.
Hata hivyo kumfananisha Komu na Chatanda ni kutaka kumdhalilisha Komu.
Chatanda anaongea utadhani malaya wa Shiverz. Hana Adhabu. Kwa maneno yake ya kutukana Maaskofu amekwisha changanyikiwa tayari.

Chakushangaza ni kwamba hata CCM wameshindwa kutoa tamko, hii inaonyesha alichokifanya Chatanda ni kauli ya CCM siyo ya kwake. kama itakuwa basi Kikwete naye hii laana imkute, damu ya wale marehemu na majeruhi iwe juu yake na watoto wake, na kwa Makamba vilevile.
 
Hapana, sitaki kumfananisha Komu na Chitanda.

nataka kuonyesha kuwa CCM wanatumia mbinu chafu kushinda umeya ambapo kuwa hata chadema wana uwezo wa kutumia wabunge wao wa viti maalum.

Ila utaratibu na haki ufuatwe ili amani itawale.
 
Nimepata habari kuwa Anna Komu amehamishiwa Arusha kama Mbunge wa Viti Maalum. Nimesoma katika gazeti la Tanzania Daima.

Nashukuru kuwa Wazo langu limepata utekelezaji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom