Kompyuta mpya iwe na sifa gani?

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Habari zenu wana technology,ni hivi nataka ku start biashara za mitandaoni,namaanisha nataka kuanza blogs zangu zitakazonipa mahela,lakini bado sijajua ni kompyuta gani latest(pentium)nzuri na zenye sifa zipi ni nzuri kwa kuanza hii biashara au hata kuimiliki,namaanisha kuhusu mambo ya hard drive ziwe na GB ngapi na nataka kuwa na wireless connection.
je? natakiwa kununua nini hapa Welcome to iBurst uki click (get iBurst)hii ni link ktk web hiyo itakuletea modem\antenna na router,naomba msaada wenu wakuu ili nisife njaa.
 
Si lazima hiwe na proccessor ya Pentium, unaweza kununua yenye AMD, Athron n.k

Kwa mfano ukiwa na Laptop kama hii inakufaa:


Toshiba
Processor: AMD, Athlon II Dual - Core M300 2.00 GHz
RAM: 4.00 GB
System: 64 - bit Operation System
HDD: 500



Gonga hapa
 
Si lazima hiwe na proccessor ya Pentium, unaweza kununua yenye AMD, Athron n.kKwa mfano ukiwa na Laptop kama hii inakufaa:Toshiba Processor: AMD, Athlon II Dual - Core M300 2.00 GHzRAM: 4.00 GBSystem: 64 - bit Operation SystemHDD: 500Gonga hapa
inasemekana kuwa laptop sio nzuri kuliko flat screen computer je kuna ukweli wowote? Ila nashukuru mkuu kwa majibu,je? Kuhusu vifaa vya wireless nako nichukue vipi.
 
Nashukuru mkuu,je? Kuhusu vifaa vya wireless nako nichukue vipi.
Nikuulize swali tafadhali, "Kwanini unataka kutumia wireless?"

Nimekuuliza ilo swali kwa sababu, nataka ufanye maamuzi mazuri, kabla ya kufanya au kununua kitu chochote kile lazima ujiulize ili swali "Kwanini?"
 
Kwasababu naweza kuipata bila ya kusumbuana na Baba mwenye nyumba yangu.
Mkuu kama unataka kutumia Laptop, basi si vibaya ukiwa na wireless, ila kama ni PC, basi unganisha tu na RJ45.

NB:
Connection za wire zipo faster kuliko wireless.
 
Mkuu kama unataka kutumia Laptop, basi si vibaya ukiwa na wireless, ila kama ni PC, basi unganisha tu na RJ45.NB:Connection za wire zipo faster kuliko wireless.
Nashukuru mkuu,basi nitaanza na wayalesi halafu nikipata mahela nitatafuta ofisi na kuunganisha na connection za waya
 
Nashukuru mkuu,basi nitaanza na wayalesi halafu nikipata mahela nitatafuta ofisi na kuunganisha na connection za waya
Nadhani kampuni utakayo jiunga nayo watakupatia kila kitu. Chaguo litakuwa lako, wire au bila wire.
 
Computer ya kisasa lazima iwe na shock-up mbele na nyuma..... :)




Nakushauri tafuta yenye processor kuanzia i3 a minimum maana hizi duo core naona zinakuwa phased out kimtindo na ddr3 coz ddr2 nazo zitapotea so kama unafanya mchakato wa brand new consider those things vingine vyote kama utapata hiyo, mara nyingi laptops zote sasa hivi zaja na wireless so its not something to mention
 
sifa nyengine muhimu ya kompyuta mpya iwe na maplastiki yake, magamba! usisahau muhimu sasa!:evil:
 
Back
Top Bottom