Kompyuta mpakato.

Hebu assume umeenda dukani kununua 'laptop', utatumia hilo neno (kompyuta mpakato) au utalienzi neno 'laptop' kama kawaida.
...
Its me SI unit
 
nami ndio nasoma hapa kwako kaka!japo PAKATA sio neno zuri kabisa!kweli kiswahili kinapwaya!

kila neno litakuwa baya ikiwa litatumiwa vibaya, mkwe.re si neno baya lakini kutokana na wana-jf kulitumia vibaya imebidi mods waweke ******
 
Naona hapa chini hata kompyuta ni kosa eti ni Ngamizi kwahiyo ya mezani itaitwa Ngamizi meza lol!

Khaaaaaa!mie napata ugwadu kutamka ngamizi lol!mie nitaendelea na nilivozoea bana!unaweza tamka mbele ya watoto ndio ukawachanganya kbs!
 
Khaaaaaa!mie napata ugwadu kutamka ngamizi lol!mie nitaendelea na nilivozoea bana!unaweza tamka mbele ya watoto ndio ukawachanganya kbs!
Kama taifa tayari tumeshawachanganya watoto wetu,darasa la 1-7 kiswahili,form 1-4 kiingereza,inabidi kama taifa tuamue kiswahili mpaka chuo kikuu au kiingereza kianze darasa la kwanza kama jirani zetu Malawi,Zambia,Uganda na Kenya.
Tunawapotezea kujiamini ndio maana utakuta hata hapa JF mtu wa chuo kikuu lakini uelewa wa kiingereza mbuvu kabisa na akikutana na majirani wa nchi zinazotuzunguka ndio anaona aibu kabisa kuongea.
 
Back
Top Bottom