Komesha wezi kwenye ATM

Status
Not open for further replies.

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
when a thief forces you to take money from the atm, do not argue or resist, you might not know what he or she might do to you. What you should do is to punch your pin in the reverse, i.e. If your pin is 1254, you pounch 4521.the moment you punch in the reverse, the money will come out but will be stuck into the machine half way out and it will alert police without the notice of the thief. Every atm has it, it is specially made to signify danger and help.
 
Sasa baada ya hapo salio litakuwaje? Litapunguzwa kwa kiwango cha fedha ulichotoa au halitapunguzwa? Kama halitapunguzwa, basi yaani hela zikichungulia tu, zimekwisha! Nitang'ang'ania hadi zichomoke, na jaribio hili litafanyika hata kama hakuna mwizi aliyenilazimisha kumtolea hela!
 
Unataka kusema hata atm za bongo kama za buguruni mle zina hiyo provision ya usalama? Hongera kwa hii shule uliyotukatia.
 
Sasa pesa zikiyoka halfway si nitakuwa nimepoteza fedha hizo nitazipataje tena,na polisi wasipokuja kama unavyojua polisi wetu wa bongo itakuwaje,tuongezee shule zaidi.
 
Unataka kusema hata atm za bongo kama za buguruni mle zina hiyo provision ya usalama? Hongera kwa hii shule uliyotukatia.

Hata kama hiyo service ipo hapa Bongo, mitaa kama Buguruni Kwa Mnyamani sijui wapi huko, ambako hata ATM hazina ela, itakuwa ni kujitafutia matatizo tu. Utabofya hapo hela haitoki wala nini..!
 
Sasa pesa zikiyoka halfway si nitakuwa nimepoteza fedha hizo nitazipataje tena,na polisi wasipokuja kama unavyojua polisi wetu wa bongo itakuwaje,tuongezee shule zaidi.

Kwa bongo nadhani itakuwa ngumu, nakumbuka kuna siku tulivamiwa home tukapiga simu police, jamaa aliyekuwa kituoni akajibu tutumieni usafiri iliwawahi...walikuja next day na kuomba pesa ya mafuta na ya uchunguzi Loooh bongo!
 
Duh,hawa majambazi ambao wanarob hadi banks na kwenda kwenye strongroom leo hii hela zichungulie waziache??Afterall kwa polisi wetu kibongobongo wanaweza kuja after 30mins.
 
Mbona hujanipa thanks, ama unanibania?

Unaomba thanks kwa Malila? Kwani hujaona amempa mmoja tu tangu ajiunge 2007?

Join Date: Sat Dec 2007
Posts: 303
Rep Power: 22

Thanks: 1
Thanked 147 Times in 86 Posts
Credits: 9,692
 
Unaomba thanks kwa Malila? Kwani hujaona amempa mmoja tu tangu ajiunge 2007?

Join Date: Sat Dec 2007
Posts: 303
Rep Power: 22

Thanks: 1
Thanked 147 Times in 86 Posts
Credits: 9,692

Hahahaha mzee unaniacha hoi sana kule uliona Mateso anapost 3 kwa miaka 3, kila mwaka anatundika moja!! huyu Malila hana shukurani....basi nitwange wewe thanks Sin Kala
 
....basi nitwange wewe thanks Sin Kala

Hiyo hapo nishakutwanga. Ila kuna jamaa ameniPM eti anasema kule kwenye ile ya Invisible kukonyeza, eti huwa anamkonyeza shem wako Kelly, sasa sijui NN akilijua hili mambo yatakuwaje!!
 
Hiyo hapo nishakutwanga. Ila kuna jamaa ameniPM eti anasema kule kwenye ile ya Invisible kukonyeza, eti huwa anamkonyeza shem wako Kelly, sasa sijui NN akilijua hili mambo yatakuwaje!!

Huyu jamaa anatafuta vita mimi nina nuclear missiles nitapopoa makengeza yake! NN na mimi ni jeshi kali kama la Northern Korea. Nashukuru kwa thanks ngoja nami nikutwange!
 
when a thief forces you to take money from the atm, do not argue or resist, you might not know what he or she might do to you. What you should do is to punch your pin in the reverse, i.e. If your pin is 1254, you pounch 4521.the moment you punch in the reverse, the money will come out but will be stuck into the machine half way out and it will alert police without the notice of the thief. Every atm has it, it is specially made to signify danger and help.

fake!
 
Jamani naomba mnisamehe bure kabisa.Sijatoa thanks kweli kabisa,mi nilidhani niliposema hongera kwa kutukatia shule ndo imewakilisha asante ya kazi nzuri uliyoifanya.
Thank you in advance
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom