Kombe la FA: Chelsea Fc Vs Liverpool Fc! Mechi hii itapigwa saa 7:15PM.

Kaka wewe kubali yaishe......!!!


Kamanda nimesha kubali matokeo!
Asiye kubali kushindwa si mshindani!

Hata hivyo bado ninataka nimpe kocha KD lawama ya kutofanya maamuzi ya mapema!
Ila yote ya yote nimekubaliana na yote!
 
Bila shaka hawa The Corks ni wakati wa kuwarudishia washabiki heshima.

Na bila shaka ubao utasomeka L'pl 3 Chls 1
You will never walk alone!!
 
Pamoja na kutokuwepo kwa kiungo mkongwe wa club hii,hakika haijalishi kwani hawa chelsea ni wa kuwapiga pingu tu.
 
Back
Top Bottom