Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 139
Yaani huyu refa kanifanya nishindwe kula huku zenj mitaa yote kimyaa ukiachilia harakati za siku kuu ya idd tu basKama kawaida refarii katuuwa sisi Wanzenj!
Yaani huyu refa kanifanya nishindwe kula huku zenj mitaa yote kimyaa ukiachilia harakati za siku kuu ya idd tu basKama kawaida refarii katuuwa sisi Wanzenj!
Yaani huyu refa kanifanya nishindwe kula huku zenj mitaa yote kimyaa ukiachilia harakati za siku kuu ya idd tu bas
Rais ni Mizengo Kayanda Pinda aka mtoto wa mkulimaHivi Rais wa Tanganyika ni nani vile? Na kama Tanganyika ipo kwa nini unasema tuidai?
We acha tu huku kwetu tunasema mende kaangusha kabatiKipofu kaona mwezi talalala!
Zanzibar si timu ya kiuchapa tanzania. Naamini tutavuka hatua na kukutana na Uganda kwa mara nyingine. hawa jamaa huwa wanajipigia tu hata hatuwasumbui
Hapa ndipo siasa za muungano zinaponishindaga! Hivi wimbo wa taifa ulipigwa mmoja au?
FT Kili Boys (Bara) 1 Burundi 0
FT Kili Boys (Bara) 1 Burundi 0
poaUganda na Zanzibar vipi?