Kombati za CHADEMA mpaka siku ya harusi ; safi sana jamani

CDM bana wanapenda sana kupora wake za watu, huyu mwanamke alishafunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM, anaitwa Dj Nerry
 
Hii thread naona imejaa Uchagga mwingi! Huyo mwanamke si Joyce Kilia ndoa ya ngapi tena anafunga.
Nakumbuka ndoa yake mimi nilipewa mualiko aliolewa na Dj Nerry wa Clouds FM. Duu! Hii kali
Vipi wewe umeshaolewa mara ngapi na umepanga kuolewa mara ngapi....
 
CDM bana wanapenda sana kupora wake za watu, huyu mwanamke alishafunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM, anaitwa Dj Nerry

avatar yako hii ipo wapi siku hizi .... same as your thinking capacity .... teh teh teh

avatar34266_1.gif.jpg
 
Sijajua tofauti kati ya Magwanda ya chadema na Kaunda suti. Maana za cdm huwa za kijivu au kaki, hongera Bibi harusi kwa kupata second chance.
 
It's 9 out of 10 that this idea will be copied by CCM cadres who are so lame at coming up with their own!!
 
Hii ndoa hata Wachungaji pamoja na Kanisa wameikataa wamewafukuzilia mbali ndio wamekwenda kufungia uchochoroni.
Tatizo nini Mwanaume na Mwanamke wote ni Wakirsto sasa kwa nini wameshindwa kufungia ndoa yao Kanisani? Tafakari na kwa nini Wachungaji wamekataa hiyo ndoa tafakari.
 
Back
Top Bottom