Kombati za CHADEMA mpaka siku ya harusi ; safi sana jamani

haya bana ... Pdidy upo juu kwa mambo ya intelijensia

nashukuru
 
afadhali huyu dada kapata kijana wa chadema! manake ana sera za kisasa kweli,angekutana na kijana wa ccm wala asingefurahia maisha!
kila la kheri mamito,hongera sana.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
pdidy ... Hii harusi ni wapi imefanyika ndugu yangu ... Tujuze pia hawa maharusi ni kina nani

au una hangover

mpwa hapo kwenye hangover nimepapenda naona katuma sms niwajuze
anaitwaaaa henry john kile na mkewe joyce la mwisho kaomba utafute wewe
 
  • Thanks
Reactions: LAT
haya bana ... Pdidy upo juu kwa mambo ya intelijensia

nashukuru

mkuu lat
mambo ya lunch hayo tunajaribu kupunguza uzito..ila mkuu ukioa naomba anipe tenda ya kombati za chadema mpwa niko nyuma yako kwa ili kama ushaoa basi ndoa ya pili usinisahau nisirudi kiraracha kabla ya muda wangu bana..unajua wachaga wanarudi kijijini wakiwa kwenye double coaster sasa ukinirudisha kwenye msae ama kilimanjaro ni hatari zaidi nipe dili mpwa
 
Mkiwa kwenye ndoa zenu kama hizi jamani embu jaribuni kugaiana kadi za chadema jamani tuaondoe hawa mamluki mwitu ccm

kama unataka ndoa ya kulaanika vaa suti ya kijani amanjano kwanza usiku unakutana na sms za hawara wa mkeo ujue ulipogusa sio
 
mkuu lat
mambo ya lunch hayo tunajaribu kupunguza uzito..ila mkuu ukioa naomba anipe tenda ya kombati za chadema mpwa niko nyuma yako kwa ili kama ushaoa basi ndoa ya pili usinisahau nisirudi kiraracha kabla ya muda wangu bana..unajua wachaga wanarudi kijijini wakiwa kwenye double coaster sasa ukinirudisha kwenye msae ama kilimanjaro ni hatari zaidi nipe dili mpwa

mkuu Pdidy .... naona hunitakii mema .... moja yanitosha bana .... ha haaa haaaa
 
akutumie kadi ya chama ama??mkuu nimetuma ombi kwa mhusika naona not richabo subiri akitoka fungate mpwa ni vigezo na masharti vinafanya kutokuwepo majina yao bila ruksa kila la kheri na wewe ukioa kwa style hii ni pm picha zako
ila kama utaitaji mishono na design plse pm fasta ama tuma denismandia@yahoo .com kwa ujasiriamali zaidi

Ahahahahaha!!!!
Mkuu nawezaje kupata mavazi hayo. Yanauzwa dukani au kwenye ofisi zao pale Kinondoni. Nataka sasa yawe ndo mavazi yangu ya kila siku hivyo nahitaji size yangu kamili na rangi mbalimbali.
Nikaja kuoa nitakustua. Ninaweza kupiga style hii hii. Imependeza.
 
HAPA BINTI ANAMWAMBIA NTAKUFA NA WEWE CHADEMA MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU HNY ILA WALE VIDOSSHO WA VITIMAALUM
NISIONE MSG ZAO OVYO PLS
4.jpg

Katika pita pita yangu
huku dunia i namfahamu dada
 
MAMBO YA TAI YAMEPITWA NA WAKATI NYIE MABRONZO ONA NDOA ILIVYOONDOKA SIMPLE WATU WASHAANZA KULA TUNDA KILA HALALI UITAJI UENDE PARADISE
KILA LAKHERI

3.jpg

Mkinipa picha za wale master wanahojiwa sana kwenye Channel 5 natawaonyesha picha yake halisi
 
mkuu lat
mambo ya lunch hayo tunajaribu kupunguza uzito..ila mkuu ukioa naomba anipe tenda ya kombati za chadema mpwa niko nyuma yako kwa ili kama ushaoa basi ndoa ya pili usinisahau nisirudi kiraracha kabla ya muda wangu bana..unajua wachaga wanarudi kijijini wakiwa kwenye double coaster sasa ukinirudisha kwenye msae ama kilimanjaro ni hatari zaidi nipe dili mpwa
we umenifanya nicheki wewe hutaki kupanda hizo metro,bufalo,kilimanjaro,mtei,dar express unatka tu kupanda double coaster tena usiku kweli hapo ndo umenichekesha
 
Hii thread naona imejaa Uchagga mwingi! Huyo mwanamke si Joyce Kilia ndoa ya ngapi tena anafunga.
Nakumbuka ndoa yake mimi nilipewa mualiko aliolewa na Dj Nerry wa Clouds FM. Duu! Hii kali
 
Nakushauri wewe Pdidy ungetoa hizo picha usije ukamtunanisha bure huyo Joyce Kilia. watakuja watu watamwaga data zake hii thread utaiona chungu. Kwanza vipi alikuwa na mimba ameishazaa?
 
Nimezipenda hizi style siyo siri na mimi ninaanza kuzinunua kabla sijaanza mchakato wa ndoa yangu duh!
 
crap!mnafiki mkubwa wewe!
ni kijana mwenye uelewa mkubwa sana katika ulingon wa siasa-anaitwa HENRY KILEWO, KIONGOZI WA VIJANA CHADEMA KINONDONI
 
Hii thread naona imejaa Uchagga mwingi! Huyo mwanamke si Joyce Kilia ndoa ya ngapi tena anafunga.
Nakumbuka ndoa yake mimi nilipewa mualiko aliolewa na Dj Nerry wa Clouds FM. Duu! Hii kali

Jf - Hate preacher ..... kabila lako twalijua .... ufukara ndio unaotawala na kusababisha jealous ... lol
 
Back
Top Bottom