Komba na Sendeka wanapiga soga thn wanapiga makofi

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Akiangalia Star Tv wanaonekana Olesendeka na Komba wanagonga story nyuma ya mchanguaji Nimrodi Mkono wakatonywa wakajikausha thn wageuka na kupiga makofi kwa kitu wasichokuwa na uhakika nacho. Komba ndo kageuka kabisaaa anamwangalia Olesendeka badala ya kuangalia kiti cha spika.

Concern

Hivi bungeni ni kwa kupiga soga na umbea?
Makofi ya nini?
 
Kwa kweli mi binafsi napata shida sana kusikiliza kikao hiki cha bunge kupitia star tv, kwani haya makofi ya waheshimiwa yanavuruga sana usikivu mzuri. Sijui utaratibu wa kupiga makofi uko vipi, kwani naona wanapiga kwa kila neno hata liweje, wasiokubali wanapiga makofi, wanaokubali wanapiga makofi, sijui maana yake nn. Ukweli sisi wasikilizaji tunapata shida sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom