Komando Yoso na Jenerali Nyau wako wapi?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Hiki kikundi kilizuka wakati ule kilipotelea wapi? nakumbuka mkuu wao alkuwa anaitwa jenerali nyau..sijui nae yuko wapi siku hizi...hiki kikundi kama ingekuwa sasa hivi tungeambiwa wametumwa na chadema....
 
Kipindi kile walikuwa wanatumwa na ccm,
 
Hiki kikundi kilizuka wakati ule kilipotelea wapi? nakumbuka mkuu wao alkuwa anaitwa jenerali nyau..sijui nae yuko wapi siku hizi...hiki kikundi kama ingekuwa sasa hivi tungeambiwa wametumwa na chadema....

Siku hizi wapo upande wa pili, wanaamsha watu..... Ni siri yako, usimwambie mtu.
 
kiboko msheli pia...waliuliwa mmoja mmoja na wananchi,yani wananchi walikuwa wanazungukia nyumba zao zote na kuwaua hadharani,..walisumbua sana mjini
 
Hiki kikundi kilizuka wakati ule kilipotelea wapi? nakumbuka mkuu wao alkuwa anaitwa jenerali nyau..sijui nae yuko wapi siku hizi...hiki kikundi kama ingekuwa sasa hivi tungeambiwa wametumwa na chadema....

Na kikundi kingine kiliitwa Seven Komando...
Nakumbuka niliwahi kuhusishwa kuwa ni mmoja wao hadi pale nilipotoa maelezo ya kina na kufanikiwa kuwashawishi polisi na kujisafisha.

Gang Chomba katoka mbali jama dah
 
meja wao aliku anaitwa shuwa, mpaka mnanda walikuwa wanatunga kuhusu huyo shuwa, kajamaa kenyewe ata mkono akajai, dah tunatoka mbali
 
Hiki kikundi kilizuka wakati ule kilipotelea wapi? nakumbuka mkuu wao alkuwa anaitwa jenerali nyau..sijui nae yuko wapi siku hizi...hiki kikundi kama ingekuwa sasa hivi tungeambiwa wametumwa na chadema....

kilikua kinaongozwa na mchaga flani ambaye baadaye alikuja kuuwawa maeneo ya magomeni, kingeendelea kuwepo naona cHADEMA kingepata nguvu zaidi!..wachaga wangeunganisha nguvu!
 
Kuna siku walinivamia pale Kinondoni Kanisani, nilivyotoa mguu wa kuku sikuona walipopotelea.
 
Na kikundi kingine kiliitwa Seven Komando...
Nakumbuka niliwahi kuhusishwa kuwa ni mmoja wao hadi pale nilipotoa maelezo ya kina na kufanikiwa kuwashawishi polisi na kujisafisha.

Gang Chomba katoka mbali jama dah
arifu ineonekana ulikuwa una nyendo za mlengo wao wale jamaa.......wamepotelea wapi hao seven komando?
 
Mkuu wa Yoso yupo mabibo kule. watu walimkata misuli ya mikono hata glass ya maji hawezi shika vizuri. mikono haina kazi. ana poa ktk gym flani ya mtaani anafundisha vijana boxing
 
Komando Yosso Kiongozi wake alikuwa ni Maneno Maneno au jina la mtaani alijulikana kama "Kontau" na aliuawa na Polisi akiwa nyumbani kwao katika operesheni maalum iliyoendeshwa na wazee wa Mabibo Makutano kwa kushirikiana na wazee wa Manzese kwa Mfuga Mbwa. Kama leo hii angekuwa hai Kontau bila shaka angekuwa ni gwiji la madawa ya kulevya!!
 
Na madawa ya kulevya yangesgamuua.
 
kuna mmoja wao alilkuwa anaitwa Tostao,clasmate mabibo p/s!jamaa alikuwa na roho mbaya sana,lakini aliuawa kama sikosei!walipiga sana watu bisibisi za kwapa bonde la mchicha mabibo,lol
 
Back
Top Bottom