Koffi Olomide deported following JKIA assault

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
olomide-1.jpg

Congolese musician Koffi Olomide has been deported to Kinshasa, DR Congo following his Friday morning altercation at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).

Olomide was filmed attacking one of his female dancers at the airport – an incident that lead to his arrest at Royal Media Services following a live TV interview where he denied assaulting his dancer.

Olomide was expected to headline a mega show at the Bomas of Kenya on Saturday. Citizen Digital reached out to event promoters following Olomide’s deportation, but they refused to comment on the issue.

This comes just hours after Nairobi Police Boss Japheth Koome said police have launched an investigation into the incident.

On Friday night, Gender Cabinet Secretary Sicily Kariuki called for the immediate deportation of the Congolese artist over the incident.

“Kenya does not condone dehumanizing acts against women. We hope that this action will be a lesson to him and others of his ilk that gender based violence will not be tolerated and all who engage in such archaic behavior will face the full force of the law regardless of their economic stature and economic standing,” Kariuki’s statement read.
 
Mwanamuziki kutoka Jamhuri wa Demokrasi ya Congo, Koffi Olomide amesafirishwa kwenda mjini Kinshasa kutoka Nairobi baada ya kukamatwa Ijumaa usiku.

Koffi alisafirishwa na shirika la ndege la Kenya Airways, kutoka uwanja wa Jomo Kenyatta mwendo wa saa tano unusu asubuhi.

Mwanamuziki huyo alikuwa amekabiliwa na shutuma baada ya kanda ya video kuenea mtandaoni ikionekana kumuonyesha akimshambulia mwanamke uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Ijumaa asubuhi, muda mfupi baada ya kuwasili.

Mwanamke huyo anadaiwa kuwa mmoja wa wachezaji ngoma wake.

Akiongea katika kituo cha televisheni ya Citizen, muda mfupi kabla ya kukamatwa, Koffi alijitetea na kusema hakukusudia kumshambulia mwanamke huyo.

Alisema alikuwa ameingilia kisa ambacho aliamini ni mtu aliyetaka kumpokonya mmoja wa wachezaji densi wake pochi yake au kulikuwa na vurugu fulani.

Koffi alikamatwa muda mfupi baada ya kumaliza mahojiano katika kituo kimoja cha runinga jijini Nairobi.

Mkuu wa polisi nchini Kenya Joseph Boinnet alikuwa ametoa taarifa na kuwaagiza polisi wachukue hatua.
 
Jana niliangalia citizen tv ya kenya na kumwona koffie Olomide akimshambulia mkata kiuno wa bendi yake kwa mateke ya kufa mtu nilisikitika sana kitendo cha kumpiga mateke huyo dada .Shukrani za kipekeee zimwendee mkuu wa Jeshi la polisi wa Kenya kwa kuwaamrisha polisi wake kumfumirisha leo hii saa tano na nusu asubuhii .embu pitia hapa kwa bbc swahili Koffi Olomide atimuliwa kutoka Kenya

23 Julai 2016

Mshirikishe mwenzako


Mwanamuziki kutoka Jamhuri wa Demokrasi ya Congo Koffi Olomide amesafirishwa kwenda mjini kinshasa kutoka Nairobi baada ya kukamatwa Ijumaa usiku.

Olomide alisafirishwa na shirika la ndege la Kenya Airways, kutoka uwanja wa Jomo Kenyatta mwendo wa saa tano unusu asubuhi.

Mwanamuziki huyo alikuwa amekabiliwa na shutuma baada ya kanda ya video kuenea mtandaoni ikionekana kumuonyesha akimshambulia mwanamke uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Ijumaa asubuhi, muda mfupi baada ya kuwasili.

Mwanamke huyo anadaiwa kuwa mmoja wa wachezaji ngoma wake.

Akiongea katika kituo cha televisheni ya Citizen, muda mfupi kabla ya kukamatwa, Olomide alijitetea na kusema hakukusudia kumshambulia mwanamke huyo.

Alisema alikuwa ameingilia kisa ambacho aliamini ni mtu aliyetaka kumpokonya mmoja wa wachezaji densi wake pochi yake au kulikuwa na vurugu fulani.

Olomide alikamatwa muda mfupi baada ya kumaliza mahojiano katika kituo kimoja cha runinga jijini Nairobi.

Mkuu wa polisi nchini Kenya Joseph Boinnet alikuwa ametoa taarifa na kuwaagiza polisi wachukue hatua.

Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako

FacebookTwitterWhatsApp

Rejea mwanzo wa ukurasa

Swahili navigation

YaliyomoHabariMichezoVideo
 
a small incident jamaa wakaona wachukue point tatu. well sawa, lakini manyang'au huko kongo wataipata fresh. si wanaju kukimbilia mali za watu. koffi kwao ana ushawishi mkubwa manyang'au na wenyewe wategemee wenzao kupata shida. wasije hapa na kuanza kupayuka maana kwa unafiki hawajambo. hivi yule dada alipata hata mchubuko kweli! hata hivyo sio kitu kizuri kumshambulia mtu.
 
Safi sana... uonevu mkubwa kaonyesha Koffi.. na mbaya zaidi alimpiga teke la nguvu dancer wake wa kike Jomo Kenyatta airport, very shame...!!
Kisa ''mpango wa kando''kuuziwa na dansa utadhani yeye ndie mke,na mzee Koffi mhemuko ukamzidi,usichezee nguvu ya ''mpango wa kando''
 
Back
Top Bottom