Koffi Olomide ahukumiwa miezi 18 jela kwa kosa la kumshambulia Dansa wake

Kwani ushahidi si upo wazi kabisaa ameonekana na ulimwengu mzimaa akimnyanyasa mwanamke hadharani kwa kumpiga teke! Au unataka iwe kama mahakama zetu zinazokariri Wimbo mmoja "UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA, UCHUNGUZI HAUJAKAMILIKA" hata waliomuua Mwangos walitakiwa kuhukumiwa mapema sana maana kila mtu ameona kilichotoke

Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi leo eti aliemuua mwangosi aliua bila kukusudia na bado eti wanajadiliana adhabu ya kumpa
Bongo tuna vituko
 
Inauma sana. Jamani msishangilie sana...kumbe huyu MBWEHA atafungwa MIEZI MITATU tu wala sio MIEZI 18 kama DAILY NATION walivyoandika mwanzo! Halafu hili GAZETI kama la kipuuzi vile...kwanini wanaandikaandika vitu wasokuwa na uhakika navyo? Kwa habari zaidi GONGA HAPA
 
Hata hicho ulichokiamini nacho si sahihi pia, amepigwa mcongo, aliyempiga Mcongo mwenzake, Mtanzania umevaa kibwaya kushangilia halafu bado mtashangaa kwa nini bado tupo maskini mpaka leo....!!
 
Hata hicho ulichokiamini nacho si sahihi pia, amepigwa mcongo, aliyempiga Mcongo mwenzake, Mtanzania umevaa kibwaya kushangilia halafu bado mtashangaa kwa nini bado tupo maskini mpaka leo....!!
Mkuu wewe ni ke au me? Unaunga mkono udhalilishaji wa wanawake hadharani?
 
Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi leo eti aliemuua mwangosi aliua bila kukusudia na bado eti wanajadiliana adhabu ya kumpa
Bongo tuna vituko
Tena vituko haswaa, hata sura ya mtuhumiwa wa Mauaji kutuonyesha wanamfunika funika tu,
 
Hata hicho ulichokiamini nacho si sahihi pia, amepigwa mcongo, aliyempiga Mcongo mwenzake, Mtanzania umevaa kibwaya kushangilia halafu bado mtashangaa kwa nini bado tupo maskini mpaka leo....!!
kwani wakongo wana jinsia tofauti na watanzania mkuu!? Tunaposema tunapinga unyanyasaji hatuna budi kupinga unyanyasaji wa Dunia nzima, naamini Koffi angempiga mwanaume mwenzie pale pasingetosha wangeburuzana viabaya
 
Hii adhabu aliyetoa kila~za.
Leo kakamatwa kesho tayari ana kifungo cha mwaka na nusu jela, mlimsikiliza saa ngapi?

Tusikae tukajifanya kama sisi sio binadamu ambao hatukasiriki hata tukichukizwa, tumeona jamaa kamkanyaga yule binti ndio, lakini hatujasikiliza pande zote mbili kujua nini hasa kilipelekea kitendo kile, kujudge harakaharaka kwa kutumia hasira na sio akili ni moja ya vitu vinavyotuweka waafrika nyuma.

Sio siri nimechoka kusikia uki~laza unaofanyika Afrika kila siku. Hivi tatizo ni elimu au labda vyakula mnavyokula vinawadumaza?
 
Kila kitu kina faida na hasara zake, kwa sababu
1. yeye ni mtu maarufu,
2. amefanyia tukio eneo lenye camera
3.mbele ya hadhara yenye ulinzi
4.drc hakuna ubabaishaji wa mahakama
Ndiyo maana Kafungwa,
Watu wanagalagazana hadi kutoana meno hata kesi hakuna,
Ukiwa maarufu, kuwa makini sana maana "umaarufu ni sawa na harufu"
 
Kweli DRC hakuna ubabaishaji hata Mose Katumbi kahukumiwa ili apate fursa nzuri ya kugombea Urais. Great thinker wa JF katika ubora wako.
 
Bado sijaamini hizi habari, labda waandishi wa hili gazeti ndio wale wale. Inakuwaje akamatwe jana leo tu afungwe?
Unadhani kila sehemu kama Bongo ambapo ushahidi unaweza kuwepo na mtu anadunda mtaani miaka 20 kwa dhamana akisubiri hukumu kisa tu ana hela ama mnyonge kuozea rumande bila ya hata kupandishwa kizimbani. Japo tunajiita wanademokrasia na watulivu lakini ni fedheha kubwa nchi kama Congo wanapodundana kila siku bado haki ya mnyonge inalindwa.
 
Ingekuwa bongo sijui ingekuwaje!
Ingekuwa Bongo ungeona tweets za kina Kigwangala na RC Makonda wakipinga vikali kitendo cha msanii kudhalilisha dancer wake halafu hapo hapo kwenye account zao za Insta ungeona wamepozi na msanii huyo huyo kwenye selfie. Only in TZ
 
Back
Top Bottom