Koffi Olomide afungwa jela miezi 18

Si alikataa kushambuliwa huyo binti?
Na mbona hukumu imekuwa fasta hivyo
 
Si alikataa kushambuliwa huyo binti?
Na mbona hukumu imekuwa fasta hivyo

Kwenye kukataa sidhani,ila amenukuliwa na vyombo kadhaa vya habari akiwaomba radhi mashabiki na zaidi akina mama na watoto..amesema kitendo kilichotokea kilitokea kutoka na hasira za ghafla na kushindwa kujizuia..
Source: mwananchi online.
 
Kongulu.jpg

Marehemu mtoto wa Mobutu aliyeitwa Kongulu alikua rafiki mkubwa wa Koffi, wakati huo Koffi alitamba sana Zaire. Kongulu ndiye alikuwa mfadhili wa Wenge Musika na pia na Werrason. Ndiye aliyewapatanisha Koffi na Josari Nyoka Longo kwenye ugomvi wao. Longo ndiye aliyekua kingozi wa Zaiko Langa Langa. Atazikumbuka enzi hizo.
 
Itakuwa serikali ya Congo ilikuwa na bifu nae.
Walikuwa wanamvizia afanye kosa.
 
Hawakumpa hata nafasi ya kutafuta lawyer, kesi ya juzi leo hukumu imetoka. Kama ingekua hivi kwa watu wote angalau tungekua na muda wa kusafisha mahabusu.
 
Ni kwasababu anauhasama na rais lakini angepewa special treatment jela. Ninamuonea huruma inaelekea Kabila ana usongo nae sana.
 
Back
Top Bottom