kama serikali/TRA inawatambua na kuwaorodhesha makampuni yanayolipa kodi kubwa, kwanini isiwataje pia wafanyakazi wanaolipa kodikubwa? kwa sababu naamini mfanyakazi ndiye mlipa kodi mwaminifu kuliko kampuni au mtu yoyote yule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.