Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Wadau,
Inawezekana jambo kama hili lilikwisha jadiliwa,kumradhi.
Naomba kupata uelewe juu ya utozwaji wa kodi za magari,nilijitahidi kupitapita website ya TRA, sikufanikiwa kupata majibu ya kuridhisha.
1. Nina gari yangu ninayoitumia hapa abroad, ninahitaji kurudi nyumbani, je mchanganuo wa kodi utakuwaje ( Namaanisha je, wataendelea kuchukua VAT, ama kuna exemption gani (interms of FOB, CIF?) ama vinginevyo?
2. Ni muda gani unahitajika ili gari iweze kufutiwa baadhi ya kodi nitakaileta nyumbani TZ?
Asanteni