Kodi TBC, coverage ITV

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Uvumilivu huu haupo duniani kote isipokuwa unapatikana katika nchi ya maziwa na asali Tanzania. Wananchi wamekuwa wakilipa kodi kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali kwa ustawi wa taifa. Inashangaza kuona kuwa Television ya Taifa imekuwa ikijiendesha kwa pesa za watanzania wote pasipo kujali itikadi lakini imekuwa inashangaza kwa kuonesha mambo mbalimbali ya CCM tu na si vyama vingine vya siasa hasa jembe letu CHADEMA.

mfano mzuri ni TBC ilipoamua kusitisha kurusha live kampeni za CHADEMA mwaka 2010 pale Jangwani ilipotokea TBC kukatiza matangazo ya kampeni pasipo sababu ya msingi.

Kesho Jumamosi CHADEMA wanamkutano na wananchi pale Jangwani, hadi sasa ITV wametangaza kuwa watarusha matangazo ya mkutano huo live, vipi kuhusu TBC ambayo wananchi wanalipa kodi ili wapate huduma ya habari? Au tuamini kuwa TBC ni mali ya CCM na ipo kwa ajili ya kuonyesha mikutano ya CCM pekee??
 
Kuwa mwelewe ww, unafikiri wanarusha bure ? matangazo yanalipiwa, hapo ni mfuko wenu tu, hata hao ITV hawarushi bure huo mkusanyiko wenu, kama pesa hamna zakukidhi na TBC , ni bora mnyamaze kuliko kuleta porojo porojo kama hizi zisizo na mashiko

Kuna mawili yawezekana Umekurupuka au haujitambui
 
Matangazo si bure, CDM imeamua kuitumia TV ya kizalendo ITV but wamelipa japo hata Mengi anaweza kuwa ametoa hela yake kulipa matangazo ya CDM.

Haiji akilini CDM kulipa hela TBC kwani hawana huduma za haki sawa tena kulipa hela TBC ni kupoteza tu maana watu wengi huweka TBC kama kuna sababu maalim haina watazamaji wa kudumu ambao ni wapenda mabadiliko bali wana CCM ndo wameganda huko kutoka na TV yenyewe kuwa ya mgando kama watazamaji wake!
 
magamba ndio wanaangalia TBCCM1 yao wanamageuizi wanaangalia ITV nk
kuwalipa TBCCM1 NI SAWA NA KUMWACHIA ADUI YAKO MKEO.
 
Masalia ya Magamba mpo wengi ila yatavuliwa tu hata kwa maji ya moto. Fanya alysis katika taarifa za habari zote then urudi JF. Au na taarifa za habari nazo mnalipia coverage?
 
mwelewe ww, unafikiri wanarusha bure ? matangazo yanalipiwa, hapo ni mfuko wenu tu, hata hao ITV hawarushi bure huo mkusanyiko wenu, kama pesa hamna zakukidhi na TBC , ni bora mnyamaze kuliko kuleta porojo porojo kama hizi zisizo na mashiko.

Nafikiri wewe ndio sio muelewa sawa na wale wanaoshukuru serikali kuwajengea zahanati kumbuka kila unachonunua unakuwa umelipa kodi hivyo basi inatakiwa ile michango yetu mimi na wewe na wao ifanye kazi hizo za madawati gari za taka taka za fire mafunzo kama ya katiba kupitia tv zote lakini yote hayo hayafanyiki siku hizi ...zamani shule za serikali zilikuwa bora sana lakini now kila kitu tunafanya wenyewe dawa dawati daftari kulipa walimu nakadhalika

[/QUOTE]

Jamani wenzangu! Hadi leo hamjui kwamba TBC ni ya chama tawala? Hata kama wakipewa hela hawataruhusiwa furusha. Ila wanatuambia ni tv ya Taifa. Ccm bado kujua kwamba tuko kwenye vyama vingi. Bado iko na fikra za Kigumu Chama Cha Magamba. Mimi niliwahi nunua king'amuzi cha TBC baada ya kuona walivyo wanafiki nilikiwasha moto ili nisije shawishika nikilipie
 
Tbc imepoteza mwekeo kama ccm! Ukiwa umekaa na watu mnaangalia taarifa ya habari utasikia toa hao wanafki tbc weka nyingine.
 
Hivi tangu lini chama kiliacha kushka patamu? Angalia mambo magamba wanayofanya
1.Chama cha magamba hakijasajiriwa,wanatawala tu kama ccj vile lkn hakuna anyehoja uhalal wa kutawala
2.Police force imekùwa policcm
3.Tbc imekuwa tbccm
.
 
Back
Top Bottom