Kodi Mpya Kwa Wanywa Bia.

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Kwa kuwa Wanywa Bia Hawalipi Kodi ya Aina Yoyote Ile WanapoKunywa Bia Zao, Inapendekezwa Kuanzia Kesho KODI YA MAENDELEO KWA WATU HAWA IWE NI SHILINGI ELFU SABINI NA TANO KWA KILA DAKIKA WANAYOITUMIA KUNYWA HIZO BIA ZAO.
 
Kwa kuwa Wanywa Bia Hawalipi Kodi ya Aina Yoyote Ile WanapoKunywa Bia Zao, Inapendekezwa Kuanzia Kesho KODI YA MAENDELEO KWA WATU HAWA IWE NI SHILINGI ELFU SABINI NA TANO KWA KILA DAKIKA WANAYOITUMIA KUNYWA HIZO BIA ZAO.

b.jpg

drink beer save water
 
Naomba Wote Hapa Jamvini Msome Kitabu cha Mithali Sura ya 20 Mstari wa Kwanza.
 
:tape:

Ukataka kunywa bia ruksa, ukataka kula kitimoto ruksa...sio kwa kuwa wewe hunywi bia basi uwawekee wenzako vikwazo...RUKSA

Mkuu hii kitu ndiyo inayochangia zaidi pato la taifa sasa ukiwawekea hiyo kodi ni kama unaweka market distortion factor na pato la taifa litashuka significantly......

Nenda soma budget za mawaziri wako wa fedha wanapozisoma, hakuna sehemu wanavizia mapato ya kodi na kupandisha kila mara kama kwenye kilagi.....Ni leaders kwenye kulipa kodi na ikiwezekana ukiwaona wapigie makofi kwa kuchangia pato la taifa na kuwezesha kujengwa zahanati ya kutibia babu na bibi yako na ndugu zako wengine kijijini
 
Hongera wavutaji sigara,wauza kitimoto na wanywaji wa pombe kwa kuiweka tanzania iwe hai.

Walokole,wasabato na wais............ Mbona tunachukua zawadi zinazodhaminiwa na viwanda vya pombe
 
Back
Top Bottom