Kocha wa yanga na katibu wa timu waondolewa usiku huu!

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=1]BREAKING NUUUUUUUUUZ: KOCHA WA YANGA NA KATIBU WA TIMU WAONDOLEWA USIKU HUU![/h]



HABARI ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA KWAMBA KOACHA WA YANGA PAMOJA NA KATIBU WA TIMU WAMEONDOLEWA KATIKA KIKAO KINACHO ENDELEA SASA HOTEL YA PROTEA. HABARI KAMILI BAADAE
CHANZO: THIS DAY MAGAZINE
 

Nilijua huyu KOCHA ni MTEMBEZI - Masharubu MENGI --- YANGA Jamani
 
aende kwa amani record zinaonesha hakuna kocha alie wapa yanga ubingwa wa kagame akabaki msimu wote kwa heri thom hii ndio yanga yenu sisi na tukuyu stars yetu aaaaa twala ndizi tu huku tukijipanga kurudi tena kwa kasi ya baridi ya uporoto
 
Hahaaa kocho sio longo longo anasema ukweli mwanzo mwasho which at the end amekua mwiba!ndio maana mpira wa tz hauongi mbele,siasa na unafiki ndio umetawala
 
BREAKING NUUUUUUUUUZ: KOCHA WA YANGA NA KATIBU WA TIMU WAONDOLEWA USIKU HUU!


HABARI ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA KWAMBA KOACHA WA YANGA PAMOJA NA KATIBU WA TIMU WAMEONDOLEWA KATIKA KIKAO KINACHO ENDELEA SASA HOTEL YA PROTEA. HABARI KAMILI BAADAE
CHANZO: THIS DAY MAGAZINE


Walifanya usajili wa kimafia wa Mbuyi Twite wakadhani wamepata.Timu ya Yanga iko hovyo, haiwezi kuwa na matumaini yoyote maana imeshikwa na nguvu ya ufisadi ya akina Manji, Riz. Sasa wanaanza kufukuzana. Mshahara wa dhambi huo.
 
Yanga ife kabisa!!timu ya mafisadi,inachangia kumdidimiza mtanzania masikini!!kufa yanga kufa,na usipate pa kupumzika,timu ya ccm hiyooooo.
 
Yanga ife kabisa!!timu ya mafisadi,inachangia kumdidimiza mtanzania masikini!!kufa yanga kufa,na usipate pa kupumzika,timu ya ccm hiyooooo.

Unawashwaa wewee ....Siasa na Mpira wapi na wapi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Siku chache baada ya kuazna ligi kuu vibaya, uongozi wa klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Yusuph Manji leo umeanza harakati za kujipanga upya kwa kufanya mabadiliko kadhaa kwenye safu ya uongozi wa klabu hiyo.

Katika kikao cha kamati ya utendaji wa klabu hiyo iliyokaa leo mchana chini ya makamu mwenyekiti Clement Sanga imefikia maamuzi ya kuwaondoa kwenye uongozi wa timu hiyo katibu mkuu wa klabu hiyo Celestine Mwesigwa, ofisa utawala Masoud Saad, na Luis Sendeu aliyekuwa msemaji wa klabu - sababu ikielezwa ni kushindwa kutimiza majukumu ipasavyo.

Katika hatua nyingine kamati ya utendaji imewabadilishia majukumu Philip Chifuka aliyekuwa mhasibu wa klabu, huku aliyekuwa meneja wa timu Hafidh Salehe nae akibadilishiwa majukumu. Meneja mpya wa timu atatangazwa baadae kidogo.

Nae kocha wa klabu hiyo Mbelgiji Tom Saintfiet aliepuka panga lilowakuta wenzie lakini amepewa onyo kali kwa kitendo chake kilichoitwa cha kuzungumza "ovyo" na uongozi wa klabu.

Source: Shaffih dauda in sports.
 
Kufungwa mechi moja tu tena na timu kongwe inakuwa balaa, wakifungwa na JKT mgambo si watauana hawa?
 
Wawe kama ulaya mbona real madrid kapigwa Mechi mbili na wamedraw moja hajafukuzwa mtu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom