Kweli kocha wa Taifa Stars analipwa kuliko wote Afrika?

mkama

Member
Oct 19, 2007
67
10
Ni kweli kwamba kocha wa timu ya taifa ya tanzania ya mpira wa miguu analipwa hela nyingi kuliko makocha wengine wote afrika?

Naomba mwenye info atumwagie hapa jf
 
Kwani analipwa shs/USD ngapi? hii itasaidia kupata pa kuanzia sio hewani namna hiyo.
 
Hizo ndizo pesa wanazokwiba halafu wanajifanya kumwekea mkataba ambao hata TFF hawaoni ndani. MAFISADI.
 
vipi uyo kocha wa taifa stars keshataja majina ya team ta Taifa?
tupeni list
 
Back
Top Bottom