Knowing The Unknown

Nilifikiria ni movie za kibongo hizo kumbe imetokea kweri! Dah! Nisubiri narudi na USHAURI na maoni na nahasa pia sasa hivi.... Lol.
 
Please please usimzimie simu, kumbuka huyo dada sasa hivi ana msongo wa mawazo, ushauri wangu kwako kwakuwa wewe ndo umemsababishia matatizo mdada wa watu, mpngishie chumba umlipie kodi ya miezi 6 halafu mwambie afikirie kama kuna biashara anaweza kufanya umpe mtaji aanze kufanya biashara hata kama ni mama ntilie, naamini utakuwa umemsaidia
 
Mkuu n miaka takribani 8 imepita toka uandike hii thread... Tunaomba mrejesho tafadhali ilikuaje, ulichukua maamuzi gan, what real happened?
 
Back
Top Bottom