Knowing The Unknown

ushauri wangu ni kuwa ungemtafutia chumba cha kupangisha huko Mbeya ukamlipia miezi kama 6 (itakuwa kama laki na hamsini tu) then mpe laki ya matumizi for probably a month na umuache kwa amani. !

Ahsante kwa ushauri wako. Nlishafikiria kumpangia chumba lakini Costs associated with that decision zikani put-off. Sikia ingekuwa ni 150 na matumizi 100 ka unavyosema nisingekuja kuandika hapa. Ninahitaji kitanda na cha ft 4 X 6 tu cha mwanafunzi kitakachomfanya alale na kichanga kwa tabu ni 150. Add godoro ambalo lipo kwenye 90. Usafiri ni 10. Haya on top of that anahitaji jiko, masufuria, sahani, mabakuli e.t.c. Bado kuna mashuka na mengineyo kama umeme maji and so on. Nguo tu alikuwa nazo 2 na pale alipo ni kauka nikuvae mwanzo mwisho maana nazo zilichukuliwa. Hapo Mtoto hajaumwa na vivocha vya kunibipu mimi na kunisumbua.
 
3 Days to go na mpaka sasa sina maamuzi ya maana. Sasa naombeni nishaurini ntampa vipi Bad news kuwa asini ghasi SIMTAKI tena bila kumuumiza moyo wake? Kuna mtu humu anajua kind way ya kupangilia maneno maybe ili nsimuumize sana? Nafikiria kuzima simu tu au kumkatia madhara ya njia hii sidhani ka makubwa. Hapa nimetoka kuongea nae lakini nashindwa kumwambia anatakiwa ajibebe.

Kanipa namba ya baba wa mwanawe nataka nimpigie simu nimuombe amrudie mzazi mwenzie, nimuombe msamaha mimi kama mimi hilo limekaaje?
 
Hahaha! Yaani wewe akili yako inakutosha mwenyewe wallah tena! Ati umpigie m'baba wa mwanawe umuombe msamaha!

Where are the real men jamani? Kha!
 
Finaly jana nlipata courage ya kumwambia ahadi zote za kumuoa ama kumleta dar zilikuwa ni za uongo. Na sasa kimpango wake, akaomba nimtafutie kazi hata ya u house girl tu. So mwenye kuhitaji mschana wa kazi mwenye kichanga cha miezi mi 5 ani pm.
 
Finaly jana nlipata courage ya kumwambia ahadi zote za kumuoa ama kumleta dar zilikuwa ni za uongo. Na sasa kimpango wake, akaomba nimtafutie kazi hata ya u house girl tu. So mwenye kuhitaji mschana wa kazi mwenye kichanga cha miezi mi 5 ani pm.

una roho ngumu sana,sijui kama we ni binadamu
 
Mungu wangu, duniani humu watu wameumizwa isivyoezeka plz kumbuka maneno mataam ulomuahidi mwenzako mkiwa pamoja, kumbuka mwili wake na uchi wake wa thaman uloenjoy hadi kufika mshindo, kumbuka ulivyokuwa unajipendekeza kumsaidia kubembeleza mwanae kama ishara ya upendo kwake...haya akaamua kukupa moyo wake, we unamgeuka! utashuhudia laana ya ajabu sana
 
siku ukija oa ukaja gundua ndoa yako ina misuko suko sana, wala usitafute mchawi.. itakuwa ni hizi laana tunazokusanya huku nyuma bla kujua impact zake in the future...jifanye una moyo wa chuma, utakuja bondwa huo na kuwa kama spongy, kamsaidie mwenzako.
 
Finaly jana nlipata courage ya kumwambia ahadi zote za kumuoa ama kumleta dar zilikuwa ni za uongo. Na sasa kimpango wake, akaomba nimtafutie kazi hata ya u house girl tu. So mwenye kuhitaji mschana wa kazi mwenye kichanga cha miezi mi 5 ani pm.

Kaka hapo hujamtendea haki huyo dada, kumbuka wewe ndio umekuwa chanzo matatizo kwa utulivu aliokuwa nao kabla wewe hujamrubuni.
Nakushauri, pamoja na kumweleza kuwa ulikuwa unamdanganya..mpatie hata some amount of money ili aweze hata kuanza biashara ndogo ndogo, pake Mbeya mjini hawezi akakosa biashara ya kufanya itakayo mwingizia hata 5,000/- kwa siku. Think twice bro.
 
Tatizo pa kukaa. Nimemu offer laki 3 akahangaike kivyake kakataa. Na kweli ukipiga hesabu haitoshi. Kodi na kitanda imeisha hata godoro hununui. Bado chakula maana unabaki hata sh kumi huna na jiko tu hununui kwa hiyo hela.
 
hisia haziwi compasated na pesa.

Namuelewa alivyokataa hizo pesa.

Tatizo pa kukaa. Nimemu offer laki 3 akahangaike kivyake kakataa. Na kweli ukipiga hesabu haitoshi. Kodi na kitanda imeisha hata godoro hununui. Bado chakula maana unabaki hata sh kumi huna na jiko tu hununui kwa hiyo hela.
 
Mkuu

Kama mambo yanakushinda mpe hiyo laki 3 alafu mwambie kwaheri. alafu badili namba ya simu. Atatia akili. Tatizo hapa wewe unatumia akili (kichwa) yeye anatumia emotions (heart). Yeye kakupenda kweli wakati wewe toka mwanzo ulikuwa huna mpango na mapenzi. Ni kama wewe unaongea french yeye anaongea chinese - hamelewani na wala hamtaelewana. Mpe hiyo hela ya kuanzia maisha the move on. Hamtaweza ku reach a commons consensus.

Ila idea ya kumtafutia kazi ya house girl ni znuri lakini itabidi atafute mahali pa kuacha mtoto. hakuna mtu atapokea housegirl mwenye mtoto hapa Dar.
 
Yani wewe kaka umemuharibia sana maisha mwenzio tena si yeye tu bali umemkosesha haki huyo mtoto malaika asiye na hatia, huyo dada kukubali uongo wako mpaka kukuamini alijua baada ya kosa la kuzaa na mume wa mtu na kutengwa na familia akategemea atapata ndoa halali kwako na believe me kwa situation hiyo anaweza kufanya kitu kibaya sana katika maisha yake maisha yao yako mikononi mwako na tafuta jinsi ya kumsaidia usimuache maana kwa machozi yake Mungu atakulaani hata usifanikiwe ulijua ulichokuwa unakifanya kwako ilikuwa ni game but kwake ulikuwa na thamani kubwa hasa ulivyomtongoza wakati ulijua anamtoto please usimtelekeze jiulize ataenda wapi na huyo mtoto na hata ukimuacha hutapata amani moyoni mwako msaidie kwa ubinadam.
 
Daah! mimi ningesepa! Alikuwa wa kuzugia kwanini uumize kichwa, siku nyingine usitoe mwaliko wa jumla bila kusoma mchezo halisi bro! pole sana.
 
kweli hapo inabidi umtafutie chumba cha kupanga na umpe ela kidogo ya kuanzia maisha mpaka baba mtoto atakapo rudisha moyo nyuma.... lakini usimtupe coz wewe ndo umemletea hayo matatizo. usinge mpiga sound siku mlipo kutana wala asinge kutilia maanani. pole lakini.
 
Ukipenda boga...............so vema kutimiza yale mliokubaliana yaliowapelekea kuwa wapenzi.kingine usirudie siku ingine kutamani hovyo kwani sio huyo tu wapo wengi wazuri wenye matatizo zaidi ya hayo.sawa ni mzuri je una uhakika kwamba uko peke yako tu? Vipi mlipima kabla kuanza yale mavituzii au? Sometimes tumia falsafa ndogo tu ya ngoswe.
 
Back
Top Bottom