Know this immature man.

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Jamani kuna kisanga kimetokea leo. Dada mmoja amekwenda kumtembelea mpenziwe baada ya kutoka chuoni (yuko likizo) na ktk kupitiapitia DVD'S zilizokuwa ktk shelf sebulen kwa mpenzie, mojawapo ikamvutia na alipoiweka na kuichek kumbe ilikuwa ya engagement part ya bf wake na dada mwingne. Mdada amejikock vidonge visivyo na idadi amekimbizwa hospital huenda aka....! Sasa bs CHA AJABU ZAIDI, KIJANA HUYU KUMBE ALIKUWA AMEOA NA NDOA ILIKUWA INA MIGOGORO SO AKAAMUA AOE HARAKAHARAKA (aliyeengagiwa) ILA MKEWE KABLOCK NDOA ILIYOTARAJIWA KUFUNGWA HAPO AUGUST. Nimebaki na maswali kibao kuhusu jambo hli,
1. Je huyu kaka ako na akili sawa?
2. Kwa nini atake kufunga ndoa juu ya ndoa?
3. Kwa nini alimficha huyu mwingne?
4. Ndivyo wanaume walivyo au.....?
5. Akifa yule dada atajickiaje?
6. Je huyo alievikwa pete alijua uwepo wa ndoa ya zamani?
Jamani wale ambao hawajaolewa 2tasalimikaje na matukio ya namna hii manake uongo umepamba moto!?
 
sasa huyo dada akijiua itabadili nn? Na huyo mwanaume ana matatizo kichwan c bure!
 
Kuna wengi wafanyayo hayo, wengine ni viongozi na dini zao haziwaruhusu. Usishangae sana.
 
kuna watu wanatenda mambo bila ya kufikiria athari zake na faida zake some time ,,mm sielewi haswaa ,,kwanini wanajifanyia mambo tu bila fikraa,,
 
hatari san hiyo mungu ahusike hapo maana lolo
ila mshahara wa dhambi ni mauti .........
 
kama jamaa ni mpagani sawa kwa ndoa za mchanganyiko,ila huyo dada namwombea apone then atafakari mamuz mengine mazuri,asife moyo wanaume weng tu
 
hii ni kali kweli kweli! ila kwa tabia za watu wengine inawezekana kabisa kuwa wengi wana tabia hizi
 
There is only one thing to blind love, '' Think about yourself then others'' , and i like to be married . I have a person who provide me with everything then he loves me. I am promised to be married. He has proposed and has also been introduced to my parents. LADIES BE CAREFUL MUWE MUNACHUNGUZA KWANZA KABLA YA KUINGIA KICHWAKICHWA.
 
mwanaume huyo .. ni TAPELI WA MAPENZI............. ametapeli ...... sasa matokeo ndio hayo. LADIES BE CAREFUL WITH "LOVE CON MEN" wapo tu wengi ...........SHETANI ANA WATU WAKE WENGI WA KILA AINA ............. mmojawapo ni huyo ........WHY BE A WEAPON TO INFLICT PAIN IN OTHER PEOPES HEARTS?????
 
kama jamaa ni mpagani sawa kwa ndoa za mchanganyiko,ila huyo dada namwombea apone then atafakari mamuz mengine mazuri,asife moyo wanaume weng tu

......................Kwa sisi wapagani mbona kawaida tu,ila jamaa amekosa ustaarabu tu,hayo mambo angeyafanya kwa utaratibu wa ki binadamu.....................mbona brother yangu(mtu mzito kidogo jeshini) ana wake 13 na wote wanaishi na kushirikiana kama kawa???-MAPENZI UPOFU
 
Na huyo mchumba mwanachuo aliekimbilia vidonge alitumia makucha kuwaza? Hakusoma form three? Akipona mkumbusheni kuwa Lawino katika nyimbo zake alisema

"Iam unfair to my husband,
I do not complain
Because he wants another woman
Whether she is young or aged!
Who has ever prevented men
From wanting women?"

akikumbuka hatarudia, atakuwa anachukulia pouuuwa!!
Kama atakuwa ametangulia mbele, mi nampa
R. I. Jehanum.
 
Back
Top Bottom