Kmsaada jamani

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
wanajamvi najua humu tuna wataalamu wa aina mbalimbali, naombeni msaada wa namna ya kuweza kudownload picha za still, video na miziki kwenye mtandao kwa kutumia laptop au simu. asanteni sana.
 
Ngoja nikuitiw chinga wangu, best BAK pkz toa msaada hapa tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Dah ingependeza huu uzi upelekwe Jukwaa la teknolojia kule watakutatulia vizuri.Ila wenye kujua watakuambia
 
wanajamvi najua humu tuna wataalamu wa aina mbalimbali, naombeni msaada wa namna ya kuweza kudownload picha za still, video na miziki kwenye mtandao kwa kutumia laptop au simu. asanteni sana.

picha - right click katika picha husika halafu, tafuta maneno haya "Save Image au Save as au Save Picture" itategemea na browser platform unayotumia.
video au music huwa kuna ama kitufe kilichoandikwa "download" au utakutana na link ambayo itakupasa kuright click na kuchagua neno "Save as".
In short swali lako lahitaji majibu marefu maana kuna njia nyingi za kudownload ikiwemo torrent download ambayo kidogo inatofautiana na maelezo hapo juu.
Pia maelezo hayo juu ni kama unatumia Windows OS na yanakidhi haja ya computer na wala si Simu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom