Klorokwin..................

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Shemeji yangu klorokwini

Umekosekana kwa muda sasa hapa jamvini jamani am concerned!

KWa yoyote atakayemwona naomba anifikishie salamu zangu.

Aksanteni.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli felo tablet wa ODM na asali wake wanamsaka sana, ile hela ya Man of the Year tunaenda kuifumua Fyatanga leo.
 
Fansidar vipi haipandi au mpaka Klorokwin?

Hahahaha hajatokea Fellow Tablets naye atadai ye ni bora kuliko Klorokwin.....Asprin naye atakuja na hoja yake ya kupunguza maumivu.Kaazi kweli kweli

Mbu darling, where are you? au ndo kwa kuwa tunazungumzia mahasimu wako basi nawe umeficha kichwa kwenye mabawa??
 
Kwa kweli felo tablet wa ODM na asali wake wanamsaka sana, ile hela ya Man of the Year tunaenda kuifumua Fyatanga leo.

kongosho umeona eh mpenzi........yaani hawa watu wamepotea na ladha ya JF mapenzi na mahusiano na chit chat
Afu jamani Golden Mpolee hajafunga shule bado?? Nimemiii!!
 
Inawezekana mods wamechukua sera ya serikali kupiga ban vidonge vya klorokwin nao wakampiga ban shemeji yako mpendwa klorokwin..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom