Klorokwin..

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
Jamani hii dawa ya ucheshi na
kuondoa stress za maisha imeenda wapi??
Ni kwamba hawaitengenezi tena??
au Asprin, Tablet na Fellow Tablets wameitoa kwenye biashara..
nataka kujua ....
Asanteeni ....

From gossip nimesikia JF intelligence inasumbuliwa na Malaria Sugu
hivyo Klorokwini kaenda kuongeza ukali na ubora... And pia kua wako
in harmony kabisa na Asprini, Tablet, Fellow Tablets hata Quinin na
na Tablet Fellow (TF)... Ila tu ana biffu na Sulphadoxine....
 
Babu wa Loliondo ni noma, ameharibu biashara ya madawa hapa jamvini.Te Amo, kubwa la mafamasia nae ameadimika kweli.
Yap mfalme wa Amani nayeKaadimika si mchezo..National disaster .....
 
From gossip nimesikia JF intelligence inasumbuliwa na Malaria Suguhivyo Klorokwini kaenda kuongeza ukali na ubora... And pia kua wakoin harmony kabisa na Asprini, Tablet, Fellow Tablets hata Quinin nana Tablet Fellow (TF)... Ila tu ana biffu na Sulphadoxine....
Dahhh yaani Amani ya JF inatingishwa Kiasi hicho.. Klorokwini rudi... Dahhh hivi hata Asprin inagoma siku hizi.. Na mzee wa lolliondo yuko wapi.?
 
Dahhh yaani Amani ya JF inatingishwa Kiasi hicho.. Klorokwini rudi... Dahhh hivi hata Asprin inagoma siku hizi.. Na mzee wa lolliondo yuko wapi.?

Amani ya JF ni kubwa na haitikisiki.... ila tu naona hizo ni rumours tokana na kumiss uchungu wa Klorokwini...
 
Hahahaha Ingekuwa we ndio unatafutwa Ye angesea hivyo... Sijui mna visa gani lohhhhh :)
Dah!!! Halafu inabidi niende na mkalimani wale mapolisi wanaongea kilugha tu, halafu nimeambiwa Klorokwin hajala siku 2 inabidi niende na chakula kabisa ngoja nimfanyie donation ya kumnunulia chakula lolz
 
Aisee kudadadeki........

Ngoja nimtwangie fellow tablet wangu. Kumbe anamisiwa hivi? Mara ya mwisho nlionana naye mahakama ya Kisutu kwenye ile kesi yake ya ubakaji wa kabinti ka standard foo. Kiukweli nimemmisi hata mimi hasa kwenye taarab ya Melody........ jamaa kwa vidole juu nimemvulia kofia.

Hivi Rostam ni mbunge wa wapi vile?
 
Kagoda, Caspian na Vodacom
 
From gossip nimesikia JF intelligence inasumbuliwa na Malaria Suguhivyo Klorokwini kaenda kuongeza ukali na ubora... And pia kua wakoin harmony kabisa na Asprini, Tablet, Fellow Tablets hata Quinin nana Tablet Fellow (TF)... Ila tu ana biffu na Sulphadoxine....
Ashadiii a.k.a Faiza Foxy wa MS
 
Dah!!! Halafu inabidi niende na mkalimani wale mapolisi wanaongea kilugha tu, halafu nimeambiwa Klorokwin hajala siku 2 inabidi niende na chakula kabisa ngoja nimfanyie donation ya kumnunulia chakula lolz
Hivi food bank imeishiwa na chakula?? Nway hizi story zako ni kama siziamini hivi..Mmmhhhh
 
Aisee kudadadeki........Ngoja nimtwangie fellow tablet wangu. Kumbe anamisiwa hivi? Mara ya mwisho nlionana naye mahakama ya Kisutu kwenye ile kesi yake ya ubakaji wa kabinti ka standard foo. Kiukweli nimemmisi hata mimi hasa kwenye taarab ya Melody........ jamaa kwa vidole juu nimemvulia kofia.Hivi Rostam ni mbunge wa wapi vile?
Babu me miss Klorokwin sana.. Asprin inadunda tu sijui niongeze dozi.. Au nibadili kabisa.. Nasubiri ushauri wa Doctor ..
 
Babu me miss Klorokwin sana.. Asprin inadunda tu sijui niongeze dozi.. Au nibadili kabisa.. Nasubiri ushauri wa Doctor ..
Mi hapo ndo wivu unapotakaga kuniua......... huyu swahiba wangu anakupaga nini? Limjamaa lina zali kweli asee....mbona mi hunimisigi?
 
Ashadiii a.k.a Faiza Foxy wa MS

BjBj... leo umem-quote AshaDii a.k.a Faiza Foxy wa MS???? In a thread hata sio yako???
Wonders never seize... thot hata hunifahamu...lol... Kweli tambiko la Babu Asprini sio mchezo!! Dah!

Sasa ngoja nifikirie katika assumptions zangu za ID unaingia ipi.... alafu will be back!!
 
Back
Top Bottom