KLH Present: Lets Talk About It

Nashukuru MKJJ kwa mjadala swafi.
Na ni matumaini yetu kuwa sasa taarifa zote za EPA na chunguzi nyingine zitafanyiwa kazi na sisi kupewa taarifa za uchunguzi wote na matokeo yake kuwekwa bayana ili na watuhumiwa nao wawajibishwe.
 
Halafu ebu iposti conversation MKJJ maana naona wanasema eti mwanafunzi mimi nilikuwa mbishi sana!
 
Mwanakijiji anafaa kuwa mwalimu maana kama kafanikiwa kumwelewesha jmushi1, kazi kweli imefanyika kwi kwi kwi!!!

Yeye alikuwa na insight ya technicalities kuhusiana na mgogoro wa nani kutoka serikalini aliyeidhinisha kuwa malipo yatolewe!
Kuwa barua ya kwanza ya Mama Meghji ilkuwa ni ya kuisapoti barua ya Mramba na ya pili ilikuwa ni ya kukanusha kukubaliana na Mramba.
Pia na kama Ballali alishahojiwa ama la.
Alivyosema yeye ni kwamba serikali bado inaweza kudai kuwa wameshamuhoji Ballali.
 
Na watafanya kosa kubwa kusema walimuhoji Ballali ambaye hawakujua alipo!!!! Mtego wameutega wenyewe....
 
Atawekaje namba moja peke yake kama ni watu wengi wanatakiwa wapige simu?

wewe nawe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!uwekwe kundi gani sijui maana hata la kwenye wachukia ufisadi humo sijui huko kwa wapenda ufisadi may be umo
 
Mushi vipi tena mjomba?Uelezejwe?
Mbona unaendesha ligi mkuu.Si upunguze japo kidogo kupost maswali tuuu ili utushushie facts kama zipo.
Samahani mkuu ila imefika mahali tunachoka kuona jambo imegeuka chat room
 
Karibu JF!
Naona unakuja na masharu yako...Naona ni bora utoe kama ushauri kwa ma mods nadhani watakusikiliza.
Nachoelewa mimi haijalishi kuwa ni kipi kinazungumziwa hapa jf..Nevertheless we're still chatting..Sasa kama JF ni chat room then jibu unaweza kuwa nalo.
 
wewe nawe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!uwekwe kundi gani sijui maana hata la kwenye wachukia ufisadi humo sijui huko kwa wapenda ufisadi may be umo

Mama
user_online.gif

JF Senior Expert Member
Join Date: Mon Mar 2008
Posts: 442
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Thanks: 140
Thanked 177 Times in 114 Posts
Credits: 16,095

icon1.gif
Re: Mama Salma Kikwete atesa na ndege ya Rais,JK aikwepa...
Quote:
Originally Posted by Mtanganyika
Mama anakwenda kufungua mechi kwa kupiga penalt, nini tatizo jamani? Alipanda kandege kuona kana taste gani?

Muacheni mama wa Kwanza ale dunia. Jamani hizo habari za Bi Asha ni kweli?

hata kama habari za asha ni kweli, anayetakiwa kuumia ni salma mwenyewe, kama salma karidhika wengine pilipili iko shamba twawashwa je ikiingia ndani ya nyumba
__________________
If you must drink and then drive, drink milk.

Mama naona sasa unafuatilia watu bila msingi nime notice!
Naomba uchukue time zalo kama huna cha kuuliza.
Ni kivipi unaona hayo uliyoyasema hapo juu.
Na wewe uko kundi gani pale ulipokuwa unatetea matumizi mabaya ya ndege ya Rais yaliyofanywa na Mama?
Ulisema "Pili pili wasiyoila inawawashia nini"
Naomba niigeuze kauli hiyo uliyoitumia kwa wenzako sasa nakurudishia wewe...Pili pili usiyoila Mama...
 
kwi kwi kwi, nilikutega kwa hii kumbe umenasa eeh, mtoto utakufa siku si zako kwa ukingángánizi wako, na balali alikuwa na tabia kama hii yako, muulize mkapa atakueleza kwa nibni alimpa ugavana plus...
 
mushi unatatizo moja kubwa ambalo ni kujibu kila mtu "dry". tabia hiyo haikuweki pazuri, na itapunguza watu kuthamini michango yako hapa JF.
sometime silence is "a better" answer kuliko kujibizana na kila mtu.
 
Umeangalia alichosema Mama ama na wewe unatake sides?
 
what if u dont aswer mama, utapungua popote? hasa kumjibu mama kwa kuchukuwa post zake kutoka thread nyengine.

some ppl are better left answered......
 
Umeangalia alichosema Mama ama na wewe unatake sides?

unapenda sana mambo ya kutake sides, bila mtu kusymphathysize na kuchukua side yako basi siku yako haiwi nzuri.

By the way mimi nimekuambia direct, sijazua kama ulivyowazulia kina kinyaga
 
what if u dont aswer mama, utapungua popote? hasa kumjibu mama kwa kuchukuwa post zake kutoka thread nyengine.

some ppl are better left answered......

wakati mwingine huyo ni kumchokoza ili aanze kuitafuta dataz, wengine hatuna access na dataz je!
 
Ok guys lets move forward...Tunamsubiria mkuu MKJJ on whats next naamini bado tuko kwenye hali ya kitahadhari tahadhari kuwa sasa whats next.
Wote mnakumbuka kuwa MKJJ alitutaka tuwasiliane na viongozi wetu kama wabunge etc ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka kwenye uchunguzi wa kifo pamoja na suala zima la EPA.
 
Mkuu sikujua kama unamsubiria fisadi mwanakijiji hapa akuambie nini cha kufanya next.
 
Back
Top Bottom