KLH Present: Lets Talk About It

Kwanini na wewe Geeque usipokee simu halafu uunganishe tu moja kwa moja na MKJJ?
 
Mwanakijiji,

Siku hizi taratibu unaanza kuwa mwamba kwi kwi kwi!!! Jifunze taratibu toka kwa mkuu FMES.

Huu uungwana unaanza kunitatizo.. watu wanalaumu hata hawajui jinsi gani mtu anahangaika kufanya kitu cha kujitolea! Sasa angesaidia kidogo basi kupata hizo line "nyingi" za simu!
 
Hahaaa,
Afadhali Mushi kafika, maana mbishi hadi utamu hahaaa. Mushi, nakutayarishia dumu la chicha huku.
Asante sana.
 
Mwanakijiji,

Hao waliotaka barua sio E&Y na badala yake ni wale Makaburu (Deloitte & Touche). E&Y wamekuja baadaye kwenye uchunguzi kama sijakosea.
 
1. Hivi Gavana akiandika barua kuomba fedha zitolewe na Waziri wa Fedha, Gavana haandiki hela ni za nini?

2. Iwapo anaandika kama hela ni za nini, kulikuwa na ulazima gani wa waziri Meghji kumuita Balali na kumuuliza?

3. Iwapo Gavana hakuandika anataka hela za nini, kwa nini Waziri Meghji asimuambie aandike maelezo ya ziada kuelezea hela ni za nini?
 
Mwanakijiji anafaa kuwa mwalimu maana kama kafanikiwa kumwelewesha jmushi1, kazi kweli imefanyika kwi kwi kwi!!!
 
Back
Top Bottom