KLH Present: Lets Talk About It

Naomba nifikishiwe hili swali...Kwanini wale wote waliopiga signature kwenye paper trail ya approval hawajakamatwa?
Na hii si ndio maana Ballali hakuhojiwa?
 
Kama Kweli Paper Work Na Document Vitatumika Kama Ushahidi..kwanini Hao Waliopiga Hizo Signature ama kuhusika na approval ya pesa kutolewa Hawajakamatwa?
 
Watu kama mnamsikiliza huyu jamaa kwa makini mtamwelewa...Huyu bwana ni mwana siasa!
 
Tupeni highlights kinachongeleza kwenye issue ya ballali na nani main speakers hapo KLN NEWS?
 
Ataamini vipi word of mouth kwa 100% kama hana yake?
Eti nimeambiwa na mtu ambaye hakuwa kwenye mazishi lakini ninamuamini 100%
Kichefu chefu!
 
Anajibu kisiasa siasa tu na wafuasi wake sijui wapi huko!
Anawapigia zogo lile lie analowapigia kila siku!
Sehemu atakayo jitetea ni kwenye madai kuwa hawezi kumtaja mtu aliyemwambia!
 
Geeque hakikisha na maswali ya jf yanafika kwasababu nimejaribu kusaini huko bongo radio lakini bado haijanikubali mpaka niwataarifu administrators!
 
Si ndio huyu huyu alituambia tumuamini JK kwa asilimia 100%?
Hawa watu wanatuletea siasa za Nyerere jamani!
 
nadhani pressing issue iliopo ni jinsi Membe anvyophusishwa na mradi wa ID card

Balali kesha kufa sasa hatuwezi kumfufua
na pesa zishaliwa

sasa kuna kila dalili za pesa zingine kuliwa hivyo naomba tuelekeze nguvu zetu huko
 
Hayo mambo ya Dumisani Dube na Sokoine ni mwaka 1984 na ni Tanzania..Sasa ni Ballali na Marekani mwaka 2008! Ni tofauti kubwa sana huyu MKJJ kweli aendelee kuwaburuza hao hao!
Mi nimegoma!
 
Kweli kama Kikwete anasikiliza hii basi lazima am cheki MKJJ na something!
Duh!
Hii kali!
 
Jmushi1
sasa si uandike highlights za kinachoongelewa na nani anaongea. Unachoandika hakitusaidii tusio-access klhnews
 
Atawekaje namba moja peke yake kama ni watu wengi wanatakiwa wapige simu?
 
Back
Top Bottom