KLH News On Saturday...

Alivyokuwa anaongea utadhani yuko kijiweni anapiga story za yanga na simba...Mwanakijiji siku moja fanya juu chini umpate Lowassa na Membe as well(nina uhakika balozi zetu sidhani kama ziko tayari kujibu hizi tuhuma pindi wakiulizwa).
 
Eti anasema UWT kazi yao si kuchunga mikataba, bali ni USALAMA wa nchi..........nadhani hapo Mheshimwa kaenda HEWA/VAPOUR
 
Lakini hao ndio viongozi wa Tanzania, kumbukeni wakati Mwanakijiji alipoongea na JK alipokuwa Ziarani Kigoma na Tabora alivyojibu swala la wanafunzi kule Ukraine, hakuna tofauti kabisa. Hii lugha hawa viongozi hawaielewi, wanafahamu lugha ya kuzomewa na kuzuiwa kuingia kwenye miradi mbalimbali. SI MNAONA JK YUKO KIMYA; KELELE ZA MLANGO HAZIMZUII MWENYE NYUMBA KULALA.
 
Hapa nimepandwa na hasira sana hawa watawala wanatuona sisi kama tupo katika kipindi cha Ujima.
Huyu kemikali Ali wa Kikwete anajibu maswali kama anamjibu mtoto wake wa chekechea.
 
Ni kweli Mkjj sasa hata mimi Kilaza nimemka mkuu najua na kuona kabisa nchi yaliwa kudadadeki
 
Halafu huu ujeuri wa kusema kama mnaona tumekosea NENDENI mahakamani.......haya nimatusi kwa wanachi wa tanzania wanaotaka kuelewa YANAYOJIRI
 
Blaa blaa blaa, hana tofauti na yule wa Iraq.Hii ngoma nzito kuicheza lazima ufunge kibwebwe sawasawa.
 
Alivyokuwa anaongea utadhani yuko kijiweni anapiga story za yanga na simba...Mwanakijiji siku moja fanya juu chini umpate Lowassa na Membe as well(nina uhakika balozi zetu sidhani kama ziko tayari kujibu hizi tuhuma pindi wakiulizwa).

Membe yes, lakini ninavyojua Mkjj na EL sidhani kama wataweza kuja ongea tena... wametungiana mashairi mengi mno ya kupingana.

SteveD.
 
Membe yes, lakini ninavyojua Mkjj na EL sidhani kama wataweza kuja ongea tena... wametungiana mashairi mengi mno ya kupingana.

SteveD.

Ooh inawezekana....wiki iliyopita Jesse Jackson alizungumza ana kwa ana na Bill O'Reilly......baada ya miaka kadhaa ya O'Reilly kumsaka Jesse...so inawezekana kabisa na usishanga baada ya Mwanakijiji na Lowassa kuongea wakaja kuwa washikaji
 
Gamba la nyoka
usalama wa nchi unauchukuliaje ndg yangu......................TRUST ME, pamoja na kazi zingine za ulinzi, classified information zozote ambazo zaweza kuleta utata ndani ya jamii kama ilivyo sasa...........ni moja ya kazi zao kuhakikisha hizi classified inf hazi-leak.
Maan nenda ktk Intelligence Unit yeyote ulimwenguni kuprotect nyaraka za serikali ni moja ya kazi muhimu kwao
 
Mbona mna kiherehere? chuki nyingine za ajabu sana watu badala ya kujadili anachosema mnajadili lahaja na lafidhi ya waziri. Naona mnashindana nani mpondaji zaidi... JF usanii tu
 
Mbona mna kiherehere? chuki nyingine za ajabu sana watu badala ya kujadili anachosema mnajadili lahaja na lafidhi ya waziri. Naona mnashindana nani mpondaji zaidi... JF usanii tu

Unajua saa nyingine mtu anapoongea pumba you can't help it but talk about the trivial stuff....kwa sababu hakuna la maana la kujadili
 
Mkjj haya mambo ya mikataba ni ya kuyaangalia kwa undani sana, hawa wanaoingia mikataba na serikali ni wafanyabiashara matapeli tu. Kinachotakiwa hiyo mikataba kabla ya kusainiwa lazima ijadiliwe ktk ngazi mbalimbali za serikali, siyo lazima na wananchi wote, washirikishwe wataalam wa sekta mbalimbali na wabunge ikibidi. Huyu waziri kusema ati mkataba ni wa watu wawili, mimi nasema haelewi hao watu wawili ni nani! hao wawili ni sis Watanzania na huyooo mwekezaji.
Viongozi wetu wasiwe wabinafsi, wakishachaguliwa basi wanakata vitovu, hawana uhusiano na wananchi. Tumewapa dhamana watuwakilishe siyo watumalizee.
 
yaani mbaya sana unawaambia watu wasikilize radio saa 7 mchana saa za marekani halafu wee mwenyewe huonekani ! mie nilizidisha sauti ya computer hadi mwisho, sikusikia kitu, kuna mtu akanipigia simu nikawa simsikii vizuri akauliza wee maskio yako mazuri kweli, nikasema labda nimekuwa kiziwi maana radio ya mwanakijiji sisikii kitu ukizingatia sauti maxima halafu mtu mwingine ananiuliza kama maskio yangu mazuri, i was wild ! kumbe kosa lako wee bana wa shambani !
 
Back
Top Bottom