KLH News On Saturday...

Sijui Khatibu atasemaje?Nina hamu ya kumsikia....ok wameonganisha
 
Swali kwa mheshimiwa:

Mimi nina mkataba wa Buzwagi na ninausambaza kwa Watanzania wengine ili wajue kile ambacho wabunge wao walitaka kifichwe. Je serikali itanifanya nini na kwasababu zipi?
 
Wewe Mkjj, mbona mtukutu hivyo..... kuna wabongo wako Alaska kweli?! Duuh! :)

SteveD.
 
Geeque sema mazee kazi saafi

MKJJ akiweka miziki yake naona sound inakuwa taabu i.e mikwaruzo kibao
 
marekebisho ya sheria za magazeti/vyombo vya habari yanatakiwa ili kutoa uhuru zaidi kwa wanahabari.
 
au jamaa wa mawasiliano wa Bongo wamebana nini wakuu?....Kuna mkono wa mtu(sio mimi)
 
Hata kule Greenland nasikia wabongo walishatinga. Tunamsubiri Mhe Khatib.
 
duh jamaa aliwahi kupitia chuo cha sanaa Bagamoyo huyu Khatibu
 
MK, pse ask the following:::

1) What is the govt stance on mining contracts?? Have they finalised the negotiations or not?? If not, why did Karamagi said so in Bunge?? If Yes, Why do Anglo Mining say they are in advanced stages of negotiations???
 
Mwanakijiji kama unaangalia hapa muulize kuhusu jinsi mawaziri wanavyozomewa?
 
Huyo Mheshimiwa ana kiguguminzi au ndio maswali yanampa taabu kujibu?
 
MK, pse ask the following:::

1) What is the govt stance on mining contracts?? Have they finalised the negotiations or not?? If not, why did Karamagi said so in Bunge?? If Yes, Why do Anglo Mining say they are in advanced stages of negotiations???

I have a sneaky suspicion he will deflect that question to the minister responsible....
 
Huyu jamaa hajibu kitu chochote ni myeyushaji tu, sidhani kama anaweza kuongea cha maana.
 
kuna maana gani kuwaambia wananchi kutoa kuipiga vita rushwa wakati serikali haiwaungi mkono ktk mapambano ya rushwa
 
Back
Top Bottom