KLH News On Saturday...

Kuna possibility Kada kasusa, au kajiunga na bandwogan ya Machambuzi the quiter maasai..........the other day nadhani juzi or something alipewa sua yake hapa kwenye thread flani na invisible, since then jamaa kapotea!!!!! lol. Anyways hizo ni speculations zangu.

hamna ! wameniban bana ! hata sijui nilifanya nini ! nimestukia imepop kitu kinasema "Mkuu sijafurahishwa na unachofanya...Huwezi kuspoil kila kitu tukakaa kimya hivi hivi". nikasema damn, lakini yameisha babu !
 
Ndugu zangu, lakini tunaposema haya yote tukumbuke kuwa kuna mtu hapa kajiunga na credentials zake ni siri kubwa kuliko majimamboz ya Area 51, naye anaitwa 'Kada'sAdvocate'... hivyo basi, labda tusiseme mengi mpaka tuhakiki kuwa hawa ni nafsi mbili tofauti!!!!

SteveD.

kada'sadvocate ni mtu (mimi) lakini nitampa mtu mwingine hilo jina, masharti: asinipe thanks hata moja, asiniunge mkono katika thread yoyote ! thats it. kuna jamaa maeneo haya nitampa aje kuwakoma nyani mchana mweupe hadi ................
 
Sawa miye nimekupata, tumsubiri huyo jamaa aje amkome nyani... Ahsante kwa ufafanuzi.

SteveD.
 
Kada.. ur back!! next time usitukane wakunga.. mwenzio nilijifunza zamani hapa... karibu.. don't take it personal. Ila ukweli ukisema.. Friday without you, ni kama kachumbari pasipo limau!
 
Mzee mwana wa kijiji, Kwa sisi wa mashariki ya mbali kama japan na philipines mahojiano ni saa ngapi? maana sasa ni karibu saa saba mchana.
 
Tukumbushie na namba ya simu tupige simu zetu kuuliza maswali. Nilifurahi kuwasikia Nyani Ngabu na Mlalahoi wiki ilee!
 
hamna ! wameniban bana ! hata sijui nilifanya nini ! nimestukia imepop kitu kinasema "Mkuu sijafurahishwa na unachofanya...Huwezi kuspoil kila kitu tukakaa kimya hivi hivi". nikasema damn, lakini yameisha babu !

Kada,
Pole wee!!ndugu yangu hizo ndio cost ndogo ndogo za kulipa popote penye demokrasia....looks like lesson hard learned!. Pole sana kwa masahibu, I hope hujaweka kinyongo.
Watu walikuwa wamekumithi sana yaani, kana walivyosema huko juu ma-friday bila wewe basi inakuwa kana herufi moja imepungua!! Hii week ilikuwa emotional sana, mie binafsi nipo depressed na mwenye hasira mingi sana lakini ndio maisha.....the damn buzwagi thing!!.
Hapa sasa hivi najiburudisha na game ya playoffs baseball NYY v/s Cleveland na kuna nyingine ya Red Sox v/s Los Angelos Angels of Anaheme.........weekend njema kamanda wangu injaji manyota, eazy now usije ukajisababishia "ban" nyingine!!.
 
alaa, kumbe twaweza kupiga simu, haya basi na mie nasubiri hiyo namba npige simu ! tatizo mkisia sauti yangu mara moja, mtataka kusikia kila siku !
 
asante mkuu ! mie sina kinyongo na mtu yoyote, na kama ipo siku nitajisikia kuwa na legitimate kinyongo sitosita kusema hapa hapa hadharani na wala sio kwenye pm ! eeh, mkuu heri uangalie game upunguze depression, hamna neno mkuu nimekupata ! halafu tupe matokeo nani kashinda si unajua tena, wengine hatupo kwenye kideo !
 
alaa, kumbe twaweza kupiga simu, haya basi na mie nasubiri hiyo namba npige simu ! tatizo mkisia sauti yangu mara moja, mtataka kusikia kila siku !

Ikoje ikoje tena hiyo sauti... mbona itabidi tuisikilize tu sasa, mnajua wengine siye Wasabato sasa itabidi tu sababu za kutoenda kwenye sala; je ni kama ya Jacob Tesha au ni kama ya Masanja M'KADAMPINZANAJI?! :)

SteveD.
 
wee subiri tu ! kusikia sauti shurti uwe na maskio, wee subiri tu mwanakijiji aniite shambani kwake !
 
nitakuwa ninawapa clue before the time... for now.. you know his name! (siyo Karamagi so take him out of your equations)
 
huyu atakuwa mheshimiwa zitto ! tusubiri tuone !

Ila kwa maelezo ya mwanakijiji ni kuwa huyu ni kiongozi wa serikali je?Zitto naya ni kiongozi wa kiserikali?

Ama tafsiri ya kiongozi wa serikali hapa inamaanisha kila mwenye cheo hata kama ni wa kuchaguliwa na wananchi?
 
Back
Top Bottom