KLH Exclusive: Augustine Lyatonga Mrema Anaunguruma..

Status
Not open for further replies.
mazee geeque na mkk big up//

mwanakijiji, mwambie mrema since jk has to fill mbatia spot, upinzani uweke mikakati mikubwa mno from now wailalamikie ile list ya ufisadi ili jk apanue mabadiliko ya baraza la mawaziri.
 
kila jamii x 200 ! that made my day ! halafu mbona sauti ya muziki unaongezeka kwenye kikokotozi changu ?
 
i just noticed mrema hawezi kusema mafisadi, anasema MASIFADI !! mwambie mrema aseme mafisadi one more time bana !
 
poor Mkjj,

pole sana, jipe moyo tutafika tu!
hatuna pesa za Rostam Aziz, lakini message itafika tu!

haterz watakula nyembe au sumu
 
Haya Mwanakijiji!.Naona Mzee Mrema amekufafanulia nafasi yako kwenye jamii ya Kitanzania.Hongera sana Mkuu,Nafasi yako na kalamu yako inaeleweka!.Take Five Mkuu!!!.
 
alama yetu ni maandishi, matamshi ya neno 'BUZWAGI', tutaanza kuvaa mikufu na tshirts za BUZWAGI!!


SteveD.
 
Kwa kadiri ya Mrema, upinzani wameshinda viti 2 vya udiwani kati ya 16, so far. Mmhhh tutafika tu.
 
Geeque,
Shukran kubwa mkuu na hakika yanibidi kumpongeza mzee wetu Mwanakijiji ktk mtililiko mzima wa mahojiano.
Nilichopenda zaidi ni somo la kuwa mapinduzi haya ya kifkra yasichukuliwe kama ni mapinduzi ya Wapinzani bali ni yetu sote tunaoona ubadhilifu huu wa mali ya Umma.
Hii ndiyo message ambayo wengi tumeshindwa kuielewa na kila siku hoja zetu zimekuwa zikijengwa kwa kutazama rangi na alama za chama.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom