KizzoGunz's Wildin' Out Joint

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Nimekumbuka Hii MSN group ya kwanza kwanza kabisa kwa hapa Tanzania ambayo ilivuma sana kwenye miaka ya 2003/2005, hii Group ilisababisha watu wengi kuvujiana heshima baada ya kujafahamiana ikiwemo mimi mwenyewe baada ya kugundua kuwa mzee wangu naye alikuwa member wa hii group yaani ili kuwa ni hatari tupu...

Najua Nyani Ngabu, PJ,N'k mlikuwa ma-members wa hii group..
Najua kuna wadau wengine hapa mtakuwa mmewahi kuisikia au mlikuwa member mle, je ni kitu gani mmekikumbuka kula na ni member gani alikuwa ana kuvutia kwa mabandiko yake? Je ulikuwa unatumia ID gani kule? mimi ya kwangu ili kuwa MrBAZZO1

KizzoGunzs.JPG kizzogunz2.JPG
 
Back
Top Bottom