Kizuri Kula na Mwenzio: Burger Za 'McDonalds' Bongo!.

Mimemisi sana ngararimu,ngande,kena, mtango na mbeere wa soko sa mboma. Tamu sana hii kitu plus kisusio.
 
Kweli tanzania kuna matabaka,wa2 bdo 2nashndia ntuntunya na nyanya chungu,nyie mwatutajia cjui bugru cjui brego.haya bwna cku ya mwsho mtayajibu kwa mungu.
 
Junk food my ass, ulimbukeni mbaya sana, karibu kichuri na nyama choma kwa Nyaisa!!!
 
Bora nijilie mihogo yangu ya kuchoma iliyowekwa pilipili badala ya kushabikia McDonalds! Tunapenda sana raha ndani ya shida!
 
Hapa kwetu Arusha kuna sehemu wanatengeneza Burger za Senene! Wenyekutaka kujua pahali zinapopatikana ni PM nitawajulisha bila kusahau Trouper la Viwavijeshi!

Out of topc:
Mkuu vipi pale "Meat King" bado huduma zao za kuuza nyama nzuri wanaendelea nazo? Kuna wakati nilitembelea Arusha nikanunua smoked pork ilikuwa tamu kupita kawaida.
 
Kweli tanzania kuna matabaka,wa2 bdo 2nashndia ntuntunya na nyanya chungu,nyie mwatutajia cjui bugru cjui brego.haya bwna cku ya mwsho mtayajibu kwa mungu.

Jinsi ilivyo sasa,kila mbuzi anatakiwa kula tu urefu wa kamba yake!!!!!!
 
Wajomba mm hiyo burger naickia kitambo sana, ni bei gani na inapendeza unapokula u mix na nini, mtujuze na cc walau tusipitwe na kila kitu
 
Ule msemo wa Kizuri kula na wenzio unamaanisha ukiona jambo jema, zuri, wajulishe na wenzio!.

Hii ni kwa wenzetu mliopo ughaibuni, msosi rahisi ni fast food. Wale wa Mcdonalds, Kentucky or Tenesse etc, mkirudi nyumbani bongo, sasa mambo hayo yapo!. Karibu kila petrol station kubwa jirani kuna kibanda cha burger, tatizo ni hizo burger zenyewe!.

Miongoni mwa wanaojitahidi sana kufanania na Mcdonalds angalau angalau ni kile kibanda pale Petrol Station ya Morocco!.

Mkirejea nyumbani, ukijiona umemiss sana burger, karibu hapo Morroco you'll never regrate!.

kweli wale wanatisha burger zao bomba na ziko kwenye kiwango hicho for more than 4 years now,mwanzoni walianza hapohapo moroco lakini upande unaokabiliana(mkabala)na jengo la makao makuu ya zain kulikua na viti kabisa hapo palipo na garden ya hiyo petrol stesheni siku hizi,naona baade wenye petrol station wakaamua kuwasogeza kule kichochoroni kupisha upandaji wa majani ndio unaiona iko hivyo kama take away fulani,but zamani tulikua tunaenda ku "hangout' pale jioni tukibarizi kwenye viti vya plastic,pasco mambo mengi ya mjini unachelewa sana kuyajua eeh,maana kuna siku tena ulikuja na habari ya "table dancers" wakati nayo ni ya muda mrefu tu jijini..hama huko porini urudi mjini kaka
 
Pasco ndugu yangu, zile hamburg kwa kweli wanajitahidi.
Kuna siku jamaa yangu alimpeleka demu pale wa chuo flani opposite na mahakama ya kazi, demu alizifinya chicken burger mbili na vichips akazifuta zote then akashushia na sprite ya kopo! Mimacho ilimtoka jamaa! Toka siku ile anamuita MUNGIKI.
hahahahahahah wabongo wana mambo....eti Mungiki!
 
Mmh!!! Inazidi burger za steers!!!!!!!!!
Ule msemo wa Kizuri kula na wenzio unamaanisha ukiona jambo jema, zuri, wajulishe na wenzio!.

Hii ni kwa wenzetu mliopo ughaibuni, msosi rahisi ni fast food. Wale wa Mcdonalds, Kentucky or Tenesse etc, mkirudi nyumbani bongo, sasa mambo hayo yapo!. Karibu kila petrol station kubwa jirani kuna kibanda cha burger, tatizo ni hizo burger zenyewe!.

Miongoni mwa wanaojitahidi sana kufanania na Mcdonalds angalau angalau ni kile kibanda pale Petrol Station ya Morocco!.

Mkirejea nyumbani, ukijiona umemiss sana burger, karibu hapo Morroco you'll never regrate!.
 
Na kwa nini mtu ukimkuta ndo amekushikia hiyo burger utasikia akiongea na mwenzake lazima aseme U KNOW....U KNOW.....OH MY GOD......U KNOW WORRA AM SAY,

Hivi huwa burger inakilevi ama?
Sili ng'o.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom