mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 237
Hivi wadau naomba tulijadili hili, kuwa na mpenzi mmoja umpendaye na umwamini ama kuwa mpita njia, yaani ''hit n run philosophy''
Mafundisho ya taasisi mbalimbali yanatuambia kuwa na mpenzi mmoja na mwaminifu ni vyema na itatulinda dhidi ya maambukizi ya ukimwi. Ukija upande wa pili yaani elimu mitaani.com wanatuambia ni bora kuwa mtu hit nrun kwani huto mwamini mtu, hivyo kuwa makini wakati wote na kujilinda kila mara.