Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
Ngoja wanawake wakusikie!Mie simo!
Eiyer wewe si wa kikeni kumbe..........!
Ngoja wanawake wakusikie!Mie simo!
Mshirikishe mungu,atakupa wa kufanana na wewe!No!Acording this "globalaizeshen" thin,mmpo wachache sana,wakati wa kuoa sijui nitafanyaje!
Katika hili mm naamin km nitakuwa na kipato kikubwa kuliko mme wangu,
Kipato changu hakina nafasi ya kubalidi wadhifa wa mume kwenye ndoa,
Hata nina pesa kiasi gani nilishindwa kuwa peke yangu,ndio maana nikamkubali kuolewa naye na kila kilichokuwa changu inakuwa vyetu wote km tulivyoamua kuwa mwili mmoja,
Pamoja na kushirikishana ktk maamuzi na kila jambo bado yy atabaki kuwa mwenye maamuzi ya mwisho km baba wa familia.
Haaa haaa haaaa.SAFI SANA.. ka semina kamesaidia
BADILI TABIA,hakuna maamuzi ya pamoja,hakuna mahali popote pasipokua na mtu mwenye kauli ya mwisho,kwenye ndoa nako hakuna tofauti,kama unakataa mwanaume asiwe na kauli ya mwisho basi uwe wewe,lakini hujategua hicho kizungungumkuti hapo!Hebu sema utamruhusu awe na kauli ya mwisho kwenye mali yako?
Haaa haaa haaaa.
Habari yako Kashengo!
Si unajua tena sio kila kitu kubishana kuna mengine sio yetu ila tunajitutumua kuyata wakati hatuyawezi!
Being the head of household doesn't mean that you're a final decision maker.Nimejiuliza wakati napitia uzi wa Cantalisia kuhusu jamaa alietoka nduki baada ya kugundua mpenzi wake ana mawe zaidi yake.Sasa swali linakuja,kwanza wanawake wanakubali kuwa mwanaume ni kichwa cha familia?(Kuwa kichwa kuna maana ya kutolea maamuzi ya mwisho jambo lolote linalohusu familia)kama wanakubali mwanaume ni kichwa kwa tafsiri hiyo,Je mwanamke anapoolewa akakutwa na mali aliyoichuma mwenyewe hii nayo itaingia katika usimamizi na maamuzi ya mwisho ya mume?(hapa nazungumzia maamuzi chanya sio ya kufuja mali)Yaani mke hatakua tena na kauli ya mwisho na namna ya kuendesha mali hiyo kwa sababu mwanamke huyo tayari anamilikiwa na mume ama mali ya mwanamke haitamhusu mume?Jambo hili huenda ndio sababu ya ugumu wa kuoa mwanamke mwenye mali!
Umeonaeeeeeeeee!!!!
Kabisa mkuu mtu anampelekea siri za mwenzie kazini mkewe n.kKashengo uko sawa ila sikubali kuwa wanawake peke yao tu ndo wambea.Hata sisi wanaume wapo wambea sana tena wakati mwingine kuliko wanawake!
Msitishike bwana,wengine wanakuwa wanahitaji kuelimishwa,Habari nzuri tu..na hilo ndo huwatisha sana wanaume kuwaoa wanawake matajiri na wenye elimu kubwa!
Final decisions in any relationship are best made by both people. The idea of a man having the final say is old school and not the best way to proceed. If it's a decision that will affect me, I want to have had my say. If it's something that affects us both (my wife and me) we need to agree on it.Why dont u tell me your definition?