KIZE BESIGYE ON VOA (star tv)

aisee kweli huyu mseveni naye muda utafika atavuna alichopanda kuna mtu alijua gadaf atakuwa hapo alipo na majeshi ya nato? Ila kize besigye sema tu katiba ya chama chake aimruhusu kugombea tena ila kama angegombea tena ingekuwa powa sana ila ni mwanasiasa makini na asiyeogopa pamoja na manyanyaso yote hayo lakini alikomaa
 
Back
Top Bottom