Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Wabongo njaa itatuua.
This is some Nazism shyt.
Waafrika tumewapigia kelele sana makaburu kwa sheria za kibaguzi, Wtanzania tunawasema wahindi kwamba hawataki kujichanganya nasi.
Wanakuja Wachina moto chini wanajichanganya kama hawana akili nzuri, tunaanza kelele kwa nini wanajichanganya.
Kila kitu tabu tu.Hivi na ndugu zetu wanaokwenda nchi za watu na kujichanganya na watu wao wakibaguliwa on the basis of race tutajisikiaje? Si tutabeba mabango na kusema hawa watu wabaguzi?
Mbona tunakuwa rahisi kuwa wabaguzi sisis wenyewe?
acheni wachina wazae na dada wa kitanzania kwani wakirudi kwao sheria inamruhusu kuza moto mmoja tu! pia ukienda china ni 'marufuku' kwa raia wao kuzaa na species zingine...imekaa kama vile wanafungwa na sheria za nchi yao eti wasiharibu damu yao.... walinde kizazi...wanaozaa na raia wa nchi zingine wengi wao hawaishi nchini china...
Kwahio hao wachina ungewakubalia kama ni warefu?Nawewe Blu umeoa mzungu nini,hata huko red indians wamekwisha so tusijeshangaa hata sisi akina mwalafyale tukaisha kitu ambacho si kizuri tuache mambo ya kujifanya kila kitu kiko sawqa lazima tulinde asili yetu,huo utamaduni wa kimamtoni kuna siku utawatokea puani,kutetea rangi yako na na utamaduni wako sio ukaburu bwana,lazima tuanagalie muingiliano na hizo mbegu fupi bana mwishowe tutakuwa hatuna utambulisho
acheni wachina wazae na dada wa kitanzania kwani wakirudi kwao sheria inamruhusu kuza moto mmoja tu! pia ukienda china ni 'marufuku' kwa raia wao kuzaa na species zingine...imekaa kama vile wanafungwa na sheria za nchi yao eti wasiharibu damu yao.... walinde kizazi...wanaozaa na raia wa nchi zingine wengi wao hawaishi nchini china...
Wana JF,
Kwa siku kadhaa sasa, nimekuwa najaribu kufanya utafiti wa kile nilichowahi kuelezwa na rafiki yangu mmoja kwamba Wachina waliozagaa hapa Bongo (na pengine mikoa mingine) wameanza kuzaa na dada zetu.
Kutokana na uchunguzi wangu wa takriban mwezi mzima, nimegundua kwamba ni kweli, maeneo ya Temeke kwa Sokota nimebahatika kuona dada zetu wawili ambao ni majirani wakiwa na vitoto vidogo vya kati ya miaka 2 na 3 vyenye mchanganyiko wa damu (Kichina na Kibongo).
Nilijaribu kumdadisi rafiki yangu ambaye ni fundi wa garage ambako kimsingi nilikuwa nimepeleka gari kwa matengenezo. Akaniambia kama ifuatavyo "Ahaa, unashangaa nini, mbona wako wengi waliozaa na Wachina katika maeneo haya, si unajua Wachina waliokuwa wanajenga uwanja mpya walijichanganya/wanajichanganya sana na dada zetu? Haya ndiyo matokeo"
Sasa nataka nieleweke wazi, lengo langu hapa siyo kuingilia mapenzi na maamuzi ya watu wawili (Mchina na Mswahili), ila ninachokiona ni kwamba tunaanza kuharibu mbegu yetu kwa kuanza kuzaa watu wafupi. Na kwa mtazamo wangu hili swala linaweza kuwa ni kubwa zaidi hasa kwa kuzingatia kwamba wimbi la Wachina kuingia nchini limekuwa ni kubwa sana.
Je tufanye nini?