Kizazi cha sasa na matumizi ya lugha

Ngomo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
200
95
maisha ya kizazi cha sasa yapo hatarini kupoteza lugha tunazo zitumia. Ukiangalia kwa makini vijana wa sasa hawafahamu kuongea kwa ufasaha kiswahili, kiingereza, na hata lugha zetu za asili hawazijui. Na mbaya zaidi hata wabunge bungeni wamekuwa wakifanya makosa yale yale ya kuchanganya kiswahili na kiiengereza. Ukienda vijijini hata lugha zetu za asili hazitiliwi mkazo tena. Napendekeza kuwepo na sheria inayo kataza matumizi ya lugha mbili kwa wakati mmoja.
 
kama ni hvyo ungeanza na nyerere ambae alikuwa ana2mia kiswahil na kizaanaki au kingeleza na kizaanak. Japo alianzisha yeye kiswahil na kukataza 2c2mie lugha mbil. Hapo kaka itakuwa ngumu mbaya zaid umeita kizaz kipya mana kinamseto mama mmasai wakat baba msukuma kwann acongee lugha mbili mtoto wao. Hii itakuwa ngumu na sasa 2naelekea kwny east africa hvyo makabila yatakuwa co tena 120 Na lugha tena co 120 bali ni zaid na wala haitokuwa lugha mbil hapo itakuwa zaid ya mbil katka ma2mizi. So kaka mm ninaomba uzoee 2uu ni hayo 2uu
 
rejea athari za sayansi na technolojia zina vyoweza kuathiri kiswahili katika ukuaji wake hata hivyo kwa upande mwingine na weza sema pia kiswahili kimeweza kujiongezea misamiati kupitia hizo lugha nyingine
 
Back
Top Bottom