kizazi cha gongo la mboto

Dennis_elisha

Member
Apr 1, 2012
7
1
hivi atAkumbuka kweli aliyofundishwa na mwalimu¡¡
 

Attachments

  • Photo0115.jpg
    Photo0115.jpg
    143 KB · Views: 478
Yote hayo ni sababu maisha magumu(kukosa nauli) na pia wanafunzi wanazuiwa na ma konda kupanda dala dala.
 
ushaambiwa wewe ukiishi tu bongo daslama bila hata kwenda shule wewe ni form six, ukisoma day dsm form one hadi six tayari wewe kwa akili ya maisha ni university graduate, uyo dogo akimaliza darasa la saba anakuwa anajua maisha kama madogo wa form four au six....hiyo ndo bongo darisalama.
 
Very sad! Hawa jamaa jiskiaje wakiwa ndani ya "mashangingi" ya pesa za wananchi?
 
dah kweli noumaa
ila unaweza kuta ndo kinaongoza darasani....


kwa ujinga lakini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom