kizazi cha Facebook, twitter, BBM na earphones

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
vijana wengi wa miaka 26 kushuka chini ambao wengi wao ni wanavyuo au wanataaluma mbalimbali wamekuw addicted na mitandao.
Ninaposema addiction namaanisha siku hizi mtu hapitishi siku bila kuingia katika mitandao tajwa hapo juu.
Pia kunahili suala la earphone,wa2 wengi pia wamekuwa addicted na hii technology.tutarajie watu wengi viziwi katika miongo ijayo.
Pia kizaz hiki kikifika maofisini tutarajie matatizo mengi kuanzia kwenye utendaji mpaka kwenye uwajibikaji .
TAIFA LINAPOTEZA NGUVU KAZI
 
mbona hujaweka addiction ya kusema WAAAAAAAAAAAAAAO.. hii nayo kila mtu siku izi aliyeenda kashule kidogo lazima awe anaisema angalau kwa siku mara moja
 
siku hizi hata matema wamepungua,namaanisha drug addict wamekuwa wachache ukilinganisha na miaka ya zamani.ninachoshauri ni self discipline tuweze kujicontol na hii mitandao.
bora uwe addict wa JF kwani hili ni kama darasa,tena lenye maprofesa hivyo huta toka bure kuliko kuwa addict wa facebook
 
kuna mdudu whatsapp sasahi,hovyo kabisa kwani inatumika visivyo,sio mbaya alakinh itumike wakati muafaka na kwamadhumuni maalum
 
Unajuaje kwamba concept za work ethics na uwajibikaji zitabaki static kama zilivyo leo? Kwamba mitandao hii haita influnce hizi standards za leo, kiasi cha kufanya hii presence yao humo -kwa wenye akili- kuwa ni advantage rather than disadvantage?

Kijana anayeitumia vizuri Twitter anapata habari -angalau headlines tu- nyingi zaidi ya asiyetumia.

Kwa charminglady and the likes wanaokuja hapa JF, wana nafasi ya kujua mengi zaidi kuliko wasiokuja.

Mtoa mada ulitaka watu wazamie kwenye ungwini na Encyclopaedia Brittanicca wakati kuna Wikipedia?
 
Mtoa mada ameongelea addiction, Na si kuingia Mara moja moja kupata hizo news. Ni kweli hii kitu inaathiri ufanisi wa Kazi, watu wako more than 6 hours mtandaoni, tena mida ya Kazi.
 
vijana wengi wa miaka 26 kushuka chini ambao wengi wao ni wanavyuo au wanataaluma mbalimbali wamekuw addicted na mitandao.
Ninaposema addiction namaanisha siku hizi mtu hapitishi siku bila kuingia katika mitandao tajwa hapo juu.
Pia kunahili suala la earphone,wa2 wengi pia wamekuwa addicted na hii technology.tutarajie watu wengi viziwi katika miongo ijayo.
Pia kizaz hiki kikifika maofisini tutarajie matatizo mengi kuanzia kwenye utendaji mpaka kwenye uwajibikaji .
TAIFA LINAPOTEZA NGUVU KAZI

Ni kweli kabisa ndugu yangu, hasa haya mambo ya facebook, twitter na bbm. huwa napita pita humo ili kuona mambo yafanywayo na vijana wetu, kwa kweli ni aibu. Watoto wadogo ambao hata hawajaanza elimu ya sekondari, mambo wanayoandikiana kwenye wall zao ni aibu. Nawashauri wazazi wenzangu wawe wanapitapita humo kuona mienendo ya watoto wetu.
 
Mtoa mada ameongelea addiction, Na si kuingia Mara moja moja kupata hizo news. Ni kweli hii kitu inaathiri ufanisi wa Kazi, watu wako more than 6 hours mtandaoni, tena mida ya Kazi.

Unachoona wewe addiction, kwa wengine kinaweza kuwa necessity.

Nilipokuwa chuo nilikuwa miongoni mwa hao walioonekana wana addiction na mtandao, wenzangu wakawa wanahudhuria sana darasani, mie nikawa natumia muda mwingi sana lab.

Watu wakaniona nalost, kumbe najua ninachofanya. Nilikuwa najifunza kutengeneza Websites Geocities, this was way back in 1999.

To cut a long story short, kwenye graduation mie niliyekuwa na addiction na mtandao nikatokea miongoni mwa watu watatu tu katika mwaka huo tuliopata highest distinction. Wenzangu wengi waliohudhuria madarasa yote hawakufanya vizuri kama mimi kwenye mtihani, na wala hawakuwa na practical skill ya kujua kutengeneza websites.

Sasa sitetei "addiction" kwa sana. Ila ninachosema, hatuwezi kufanya sweeping statements bila kuangalia personal mission ya mtu na ability. Kila mtu yuko tofauti. Hizi habari za kuwa too formulaic ndizo nilizozikataa 1999, nikaibuka triumphant.

You can't tell me that we do not have similar young men and women nowadays.

Hapa swala ni mtu mwenyewe, si twitter wala facebook. Maana kama ni addiction mtu anaweza kuwa addicted hata na transistor radio.

Mhenga mmoja alisema unaweza kutaka kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage mchanga, au unaweza kuamua kuvaa kiatu tu. Kipi rahisi?

Acha kulaumu kizazi cha twitter na facebook, angalia practical needs za dunia ya leo, ikibidi hata badilisha curriculum iende kimtandao zaidi ku accommodate mabadiliko ya teknolojia duniani.
 
You can't tell me that we do not have similar young men and women nowadays

Hapa swala ni mtu mwenyewe, si twitter wala facebook. Maana kama ni addiction mtu anaweza kuwa addicted hata na transistor radio.

Mhenga mmoja alisema unaweza kutaka kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage mchanga, au unaweza kuamua kuvaa kiatu tu. Kipi rahisi?

Acha kulaumu kizazi cha twitter na facebook, angalia practical needs za dunia ya leo, ikibidi hata badilisha curriculum iende kimtandao zaidi ku accommodate mabadiliko ya teknolojia duniani.

Hapa silaumu ujio wa hii mitandao. Ni jinsi gani na muda gani tunatumia Mitandao hiyo. Wewe unaweza jisifia kuwa ukifanya vyema, lakini ni kwenye mitihani, pengine ulikariri tu, ila believe me kuna vitu ulivimiss Mwalimu alivyovifundisha. Kila kitu kwa time yake bana. Tuangalie huyu mtoa huduma kwa Wananchi, watu wanakuja kutoa huduma, naye yuko busy namitandao Na kuwaambia wasubiri.vipi huyu aliyepewakazi za kufanya, anakuwa addicted Na mtandao Na kushindwa kumaliza Kazi aliyopewa. Tunajua uzuri wa mitandao Kama itatumika kwa wakati.
 
Hapa silaumu ujio wa hii mitandao. Ni jinsi gani na muda gani tunatumia Mitandao hiyo.
Wewe unaweza jisifia kuwa ukifanya vyema, lakini ni kwenye mitihani, pengine ulikariri tu, ila believe me kuna vitu ulivimiss Mwalimu alivyovifundisha. Kila kitu kwa time yake bana. Tuangalie huyu mtoa huduma kwa Wananchi, watu wanakuja kutoa huduma, naye yuko busy namitandao Na kuwaambia wasubiri.vipi huyu aliyepewakazi za kufanya, anakuwa addicted Na mtandao Na kushindwa kumaliza Kazi aliyopewa. Tunajua uzuri wa mitandao Kama itatumika kwa wakati.

Hapa nilichoona ni a sweeping statement praising orthodoxy without the needed nuances and qualifications.

Trust me, there was not much I missed in those classes, and there was so much that was practical that I gained by exercising the opportunity cost otherwise.

Mtu anayekariri tu hawezi kutaka ku miss class, kwa sababu kashakariri kwamba kuhudhuria madarasa ni lazima bila kupima mwenyewe umuhimu wa madarasa yale.

Mie pengine nilikuwa na miss madarasa yale lakini nilikuwa nahudhuria madarasa ya Yale online, yaliyokuwa na a more interesting input and discussion, go figure.

Kila kitu kwa time yake, nakubali. na time ya kukalia kukariri kwamba unatakiwa kuwa darasani kwa madarasa yote, hata kama mwalimu mtupu, imeshapita katika ulimwengu huu wa Twitter.

Mtoa huduma kwa wananchi si mwanafunzi, mwanafunzi anayefanya project za kuwatengenezea software Wamarekani akapambana na Wapakistani na wahindi wanaotoa huduma hiyo hiyo online, atajua maana ya customer service na competition mapema zaidi, na hawezi kuzembea kazini. Tusikariri formula za kusoma wakati kusoma kunabadilika jamani.

Haya mnayoyasema yanaweza kuwa sawa kwa wanaojibwetesha, lakini haya apply blatantly kama mnavyotaka kusema. This has more to do with personal character than twitter and facebook.

Mbona kuna ofisi zina poor customer service bila ya facebook wala twitter? Unaingia ofisini tarishi anasoma gazeti hata kukusalimia hakusalimii, sasa hapo utalaumu kizazi cha twitter?
 
Viziwi???
Really?
Kakwambia nani??
heeeh wewe,hujui madhara ya earphone? au unataka tuendelee kubishana? tatizo letu watanzania huwa hatutaki ambiwa ukweli. kama unamiaka 25 leo na upo addicted na earphones nakupa another 20 yrs huta weza sikia vizuri au kuwa kiziwi....mark my words
 
Unachoona wewe addiction, kwa wengine kinaweza kuwa necessity.

Nilipokuwa chuo nilikuwa miongoni mwa hao walioonekana wana addiction na mtandao, wenzangu wakawa wanahudhuria sana darasani, mie nikawa natumia muda mwingi sana lab.

Watu wakaniona nalost, kumbe najua ninachofanya. Nilikuwa najifunza kutengeneza Websites Geocities, this was way back in 1999.

To cut a long story short, kwenye graduation mie niliyekuwa na addiction na mtandao nikatokea miongoni mwa watu watatu tu katika mwaka huo tuliopata highest distinction. Wenzangu wengi waliohudhuria madarasa yote hawakufanya vizuri kama mimi kwenye mtihani, na wala hawakuwa na practical skill ya kujua kutengeneza websites.

Sasa sitetei "addiction" kwa sana. Ila ninachosema, hatuwezi kufanya sweeping statements bila kuangalia personal mission ya mtu na ability. Kila mtu yuko tofauti. Hizi habari za kuwa too formulaic ndizo nilizozikataa 1999, nikaibuka triumphant.

You can't tell me that we do not have similar young men and women nowadays.

Hapa swala ni mtu mwenyewe, si twitter wala facebook. Maana kama ni addiction mtu anaweza kuwa addicted hata na transistor radio.

Mhenga mmoja alisema unaweza kutaka kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage mchanga, au unaweza kuamua kuvaa kiatu tu. Kipi rahisi?

Acha kulaumu kizazi cha twitter na facebook, angalia practical needs za dunia ya leo, ikibidi hata badilisha curriculum iende kimtandao zaidi ku accommodate mabadiliko ya teknolojia duniani.
"Acha kulaumu kizazi cha twitter na facebook, angalia practical needs za dunia ya leo, ikibidi hata badilisha curriculum iende kimtandao zaidi ku accommodate mabadiliko ya teknolojia duniani."? haah is there any practical need in facebook n tweeter? naomba nijuze kaka

Facebook and Twitter are like fire, you can choose to use fire to cook a nice meal, or burn down a house.

Facebook and Twitter are like a knife, you can use a knife to cut meat for a meal, or you can use a knife to kill a person.

You can use Facebook and Twitter - add JF to that- idly, or you can use these tools constructively and come up with the next best thing.

Don't limit the potential of Facebook and Twitter to what is confined by your lack of imagination.

Kuna watu wana forge netwoks zinazowasaidia sana maishani, wao na watu kibao. Humuhumu katika mitandao.

At the end of the day, it is about what a person is capable of, these are just tools.Let's focus on an education that is focused on critical thinking, not just embracing outdated orthodoxy.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom