Mchekechoni
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 279
- 19
The new generation's life style involves extended usage of ear-phones to listen music day in & day out. Sasa hivi ukikaa na hawa dot.com utakuta wanaongea kwa sauti ya juu, dalili tosha ya kuharibika ngoma za masikio yao. Katika kipindi cha miaka ijayo wanapoelekea uzeeni wengi wao watakuwa viziwi na kuhitaji msaada wa madaktari ili waweze kusikia vizuri. Ukikutana na dot.com na vidude vyake masikioni mpe ushauri wa bure ili usaidie kupunguza idadi ya viziwi duniani katika siku za usoni.