Kizaazaa: Bwana harusi apokea zawadi ya picha za mkewe akishiriki tendo kinyume na maumbile

Status
Not open for further replies.
Shule na upeo wa kufikiri kabla ya kutenda ni muhimu sana. Kuna li ndugu langu kwa upuuzi kama huu anaozea jela miaka 15 na amewekwa ktk magenge ya kazi ngumu. Analia tu ukienda kumtembelea. Mimi nilipoenda kumtembelea nilimwambia maneno haya YOU DESERVE TO BE IN JAIL na sitakutembelea tena gerezani. Na kweli sijawahi kutia mguu wangu. Yeye alikodi watu akamlawiti mwanaume mwenzie baada kuweka mtego wa fumanizi. Sasa na hili jinga ex la bi harusi sijui halijui linajiweka matatani na kujitafutia nafasi ya bure gerezani.
Swali langu kwako mkuu, Je unafikiri huyo bwana atahukumiwa kwakosa lipi?

Ikiwa hizo picha ni za kweli na alimpiga mwanamke kwa ridhaa yake, je atafungwa jela kwa kosa gani?
 
Ni ngumu sana. Ninawapa pole wote wawili. Sidhani kuwa familia ya yule binti inajua hayo jamani. Dunia hii, kabla hujafa, haujaumbika. Kweli kuishi kwingi kuona/kusikia mengi. Mungu awarehemu!!!!
 
kweli kab
Hichi kisa kinasikitisha... Wadada tuwe makini na wanaume tunaokua nao,hasa kabla yandoa.

Tunapenda kwa moyo ila ni vema kushirikisha akili pia,wengine akili zao fyatu kama huyo alievuruga ndoa ya watu
isaa lijamaa nia yake kuharibu tu ndoa ya dadawa watu...msidate mijtu kama hiyo au nini kilimpagawisha...nashangaa watu tupo tunahangaika na sisi kuosa watu kama hao mingine inawapata inawafotoa ...waambie wadada wenzio kuwa hata ukimpenda mtu vipi ishia kupiga selfie ya sura tu haya ma x waachane nayo....
 
Dada mwenywe kama mcharuko Fulani hivi,mbona ana mitatuu mkononi?labda ni uzungu,kwa mtu mstarabu,mwenye maadaili take huwezi kukuta ana michoro mwilini mama pundamilia
Sijaona hizo picha zote ila nimeangalia instagram baadhi ya hizo akiwa peke yake. Michoro na namna alivyoshika wine huyo dada ni chagudoa aliyekubuhu.
 
Kwa uzoefu wangu wanaume ni wanyama sana na watesaji walio wengi. Hawana huruma kabisa, naweza kusema ni wauaji wa nafsi. Ni waongo kupindukia, yaani never trust a man mpaka uchukue muda sana kumfahamu. Wengi wao wanachotamka mdomoni au kuandika katika sms zao 99% ni za uongo. Ukiamua kufanya umafia uka access mambo yake utapigwa na butwaa na utaweza kufa kama si kuzimia miezi kadhaa. Tena waogope wana wale wanaojivika ngozi ya kondoo kwa kujifanya wapole na wacha Mungu. Hizo ni gear za kuingilia uwanjani tu.



kumpata mwenza ni kazi ngumu hakuna cha mwanaume wala mwanamke sijui nani muongo na wanawake wanaowalisha wanaume limbwata wanafanya vizur?
 
yaani ungekuwa karibu ningekupa zawadi mkuu.
ukimtetea hyo dada watu wanasema unatoa tigo as if hyo mkaka kafanya jambo zuri sana
huwa nashangaa wanaume wanaponda mashoga eti ooh inakuwaje mashoga wanaongezeka blha blah kibao hao mashoga wapo kwa sababu gani?
Mkuu unajua ktk suala la mapenz mwanamke ndio ananguvu kuliko mwanaume.
Mwanamke km hakutaki huwez kumlazimisha, hata km mke wako akisema leo sijisikii hautofanya chochote.
Wangap waliokukataa kimapenz uliwalazimisha wakakubali?
Km mwanamke hataki kuliwa tigo huwez kumfanya chochote hata km umtishie kisu.
Huwa wanapenda wenyew na si kulazimisha.
Mm nikimfumania wangu, na deal na mkeo wangu tu, huyo jamaa ni mwambie aende zake tu na wala sitamgusa sehemu yyte sbb mweny maamuz ya mwisho ni mwanamke. Mwanamke hata km mlale naked km hajaamua kukupa mzigo utaishia kunawa tu kula huli.
Ukimtumikia shetani ipo siku atafanya kila namna ya kukuabisha tu.
 
Katika hali ya kusikitisha, wapendanao waliokula kiapo cha kuvumiliana kwenye shida na raha, afya na maradhi wamelazimika kukiweka kando kiapo chao na kujikuta wakiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kupokea zawadi ya picha chafu za bibi harusi akifanya mapenzi kinyume cha maumbile.

Tukio hilo la kusikitisha limetokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni, ambapo kwa mujibu wa maelezo ya wanandoa hao pamoja na rafiki wa mume aliyewasindikiza katika tukio la ndoa (best man), walipokea picha hizo wiki siku moja baada ya kutoka kwenye fungate (honeymoon). Akizungumza na kipindi cha Ubaoni cha E-Fm hivi karibuni, rafiki wa bwana harusi aliyejitambulisha kwajina la Geoffrey Nicholaus alisema kuwa yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kuziona picha hizo wakati alipokuwa akifungua zawadi za maharusi hao baada ya kutoka kwenye fungate, Juni 29 mwaka huu.

“Nilikuta ndugu zake wote wako pale. Nikakuta kuna mabox ya zawadi pale kwahiyo akaniomba nimsaidie pale kufungua mizigo ya zawadi.Sasa wakati tunaanza shughuli ya kufungua Box la kwanza… la pili nikaona zile picha, zile picha za mke wake sio nzuri kwakweli nilishtuka,” Geoffrey alisema.

“Sasa mimi wakati nataka kuficha ile kitu, yule jamaa akaniona akaniuliza ‘mbona unashtuka bana kuna nini au kuna bomu nini… nikamwambia hamna kitu bana. Akaja akaziona zile picha na yeye akashikwa na butwaa kwa sababu zile picha hata nikikuonesha ni mbaya sana. Jamaa akaanza kupiga makelele pale, akawa kachanganyikiwa” alisema.

Rafiki huyo wa Bwana Harusi alieleza kuwa tangu rafiki yake alipoziona hizo picha akili yake haikuwa sawa na hakutaka kumuelewa mtu yeyote licha kufanyika kwa vikao mbalimbali vya familia. Ameeleza kuwa rafiki yake huyo hahudhurii vikao hivyo lakini pia hapokei simu yoyote ya upande wa mkewe kwakuwa anaamini walifahamu suala hilo mapema ila hawakutaka kumwambia.

Mwanamke huyo ambaye ndoa yake imegeuka msiba mkubwa moyoni mwake alikiri kuwa picha hizo ni zake na kwamba alipiga wakati alipokuwa na mpenzi wakewa zamani, miaka mingi iliyopita.“Nimeumia sana, nimedhalilika sana.Kwakweli picha ni za kwangu, ni picha ambazo ni kweli nilipiga na mpenzi wangu wa zamani. Sio nzuri. na huyo mtu alikuwa mpenzi wangu lakini ilikuwa zamani sana. Mimi mwenyewe hata sielewi,” alisema mwanamke huyo huku akilia.



Chanzo: E-Fm.

Nadhani humu kuna watu wa sheria sio haki na hakuna mtu anaruhusiwa kumdhalilisha mwenzake. Nachoomba kwa kuwa kuna picha huyo jamaa yupo na anaonekana na huyo binti jamaa atafutwe achukuliwe hatua kali ili kukomesha hizi tabia za uzalilishaji wa wanawake. Sio haki kunyanyasa mtu. Kama walikuwa na mahusiano awali binti anayo haki ya kufanya maamuzi atakayo na jamaa hana haki ya kufanya alichokifanya. Tusipende kushabikia ujinga kwa kutokujitambua. This is harassment and it cannot be tolerated. Wanaume wenye tabia hizi inabidi wawe questionable na uanaume wao .mwanaume anatakiwa ajiamini
 
Kwani wakati wanaapa kiapo chao cha ndoa waliapaje? Nadhani bado wengi hawajielewi ni kwa nini wanafunga ndoa.

Sioni busara wala mantiki ya kumuhukumu mtu kwa sababu ya past, na ningekuwa mimi siwezi kumuacha mke wangu kwa sababu kumuacha mkeo kwa tukio la kuandaliwa ni ushindi mkubwa kwa maadui zao.

Inawezekana humu tuna upeo tofauti lakini mimi binafsi black mail kwangu haina nafasi ndio itazidi kuniongezea mshikamano na mke, ukiniona mimi zoba hewara lakini kamwe siwezi kumuinuwa shetani na kumpa reckless victory kama hii.
 
Ahsante sana kwa "matusi" yako.
TAMWA walifanya utafiti ambao uliangalia unyanyasaji wa wanawake na mapenzi kinyume na maumbile. Katika kila wanawake 10 wanawake 6 hujihusisha na mapenzi kinyume cha maumbile ima kwa hiari au kwa shurti. Na sehemu iliyoongoza ni Pemba.

Kwa tafsiri lahisi jamii yetu kwa sasa sio tu imekubuhu bali imebobea. Kwa maana hiyo mimi nilimshauri "Bwana harusi aliepita" asamehe na kusonga mbele. Hata akisema amwache huyu ni wapi atapata ambae hajahalibiwa. Na hata akimpata atamlinda vipi maana wake za watu wenye michepuko huo ndio mchezo wao. Na wale waliooa ndio mchezo wao sema baadhi yao husita kuomba kwa wake zao na kuishia kutanga na njia.

HII NI SAUTI YA MTU ALIAE NYIKANI!
Kweli Kabisa wanaume walio katika ndoa zako ndo wanaongoza kuomba michepuko yao kinyume na maumbile.na hao michepuko kwa kupenda hela wanajikuta wanakubali.ila sio kwa kupenda.ni kwa sababu ya hela tu.ni %78ya wanaume walioko kwenye ndoa wanashiriki kuwafanyia wenzao mapenzi kinyume.,na maumbile
 
Kwani wakati wanaapa kiapo chao cha ndoa waliapaje? Nadhani bado wengi hawajielewi ni kwa nini wanafunga ndoa.

Sioni busara wala mantiki ya kumuhukumu mtu kwa sababu ya past, na ningekuwa mimi siwezi kumuacha mke wangu kwa sababu kumuacha mkeo kwa tukio la kuandaliwa ni ushindi mkubwa kwa maadui zao.

Inawezekana humu tuna upeo tofauti lakini mimi binafsi black mail kwangu haina nafasi ndio itazidi kuniongezea mshikamano na mke, ukiniona mimi zoba hewara lakini kamwe siwezi kumuinuwa shetani na kumpa reckless victory kama hii.
kumbe kuna wanaume huku.
mimi nimeongea nikaishia kuambiwa natoa tigo!
nimekupenda bure
 
Swali langu kwako mkuu, Je unafikiri huyo bwana atahukumiwa kwakosa lipi?

Ikiwa hizo picha ni za kweli na alimpiga mwanamke kwa ridhaa yake, je atafungwa jela kwa kosa gani?
Nakupa mfano mdogo wa kufikirisha akili yako mkuu. Nimemtongoza binti U18 na mbaya zaidi ni m/funzi 'HATIHATI SECONDARY SCHOOL'. Tumekubaliana kwa m/funzi kuafiki. Ikatokea nimedakwa na walimwengu. Nitafunguliwa kesi gani hapo licha ya m/funzi kuridhia? Nadhani umepata jibu. Kuna mambo hata mimi na ww mkuu tulikubaliana ikatokea mimi nikabreach terms kwa ku-expose tayari ni kosa. Mwanadada anaweza kufungua shauri la kudhalilishwa, na mbaya zaidi picha zimesambaa mitandaoni. Kupiga picha za utupu kwa matumizi yako binafsi si kosa. Lakini, hiyo haiondoi kuwa kosa pindi unapozisambaza (to make them public). Mimi si m/sheria, sijui kwa TZ sheria ikoje pindi mtu mwenyewe au second party anapoachia picha mnato za utupu to go public. Kwa nchi nyingi ni kosa la jinai.
 
NA huyo mwingine atahakikishaje hamjawahi kufanya hayo NA makubwa zaidi...?!!!
Ivi haja ikiwa ngumu tu natamani nipige makelele. Mpaka mtaa wa NNE waje waniokoe,na nikitoka hapo mbio gengeni kununua papai nilainishe chooo.Leo MTU aniambie naomba mapenzi kinyume na maumbile.log.ntamuomba nimuite mwanaume mwenzie aanze yeye akisikia raha ndo aanze kuniambia na mm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom