Kizaa zaa Bungeni ktk Hotuba ya Kambi ya upinzani

Lukuvi ni mtupu kichwani,
Gwaride la chipkizi ndo limemfikisha hapo,
Elimu yake ya juu kabisa ni Certificate,
ya Ualimu shule ya msingi,
Hana uwezo wa kutafsiri sheria,
Zaidi ya ubabaishaji.
 
Well done spike, mambo yaliyoko mahakamani hayahitajiki kutajwa ndani ya bunge lako tukufu, kwani mambo ya kuaibisha bunge kama haya yasiruhusiwe kwamwe kulichafua bunge lako. Simama imara spika kama ulivyo , vibaraka wa waingereza wasikubabaishe kwani kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
 
lakini jamani hebu tujaribuni kulifafanua vzuri hili swala. hotuba ya kambi ya upinzani huwa inasomwa baada ya hotuba ya waziri husika. na hapa namaanisha kama ni hotuba ya bajeti kila mmoja serikali kwa upinzani zinapazswa kuja na yatokanayo,bajeti, matumizi na changamoto.

sasa swali langu la msingi je hivi kama kunachanga moto hata kama ziko mahakamani hazipaswi kuongelewa ikiwa kwamba maana ya kuongelea si kuhukumu bali kufikiri njia mbadala ili tatizo lisijitokeze?

Jana Spika, Mwanasheria mkuu, Mwigulu na wengine wa CCM walivyokuwa wanaongelea hawakujua kama suala lipo polisi? au ni kwa CDM tu.??
 
Ni sahihi, sasa nimeelewa baada ya kusoma sehemu ya Hotuba hiyo hapo juu.

Viongozi wa Bunge na Wabunge wa CCM wanachokifanya ni kuzuia mihjadala yoyote inayohusu Serikali aua Jeshi la Polisi.

Kama ni kuingilia Mahakama mbona J. Kikwete aliingilia kesi iliyopo mahakamani kwa kutoa uamuzi wa kuwafukuza Madakitari???? HATUKUSEMA KITU AU KWA KUWA MMESHKA MPINI????

Mbona Jeshi la polisi lilitoa taarifa ya kuhusu mauaji ya Songea hata kabla ya upelelezi???? HATUKUSEMA KITU AU KWA KUWA MMESHKA MPINI????

ACHENI HIZOOOOOOO JUHUDI ZENU ni BURE tu HAZISAIDIII KWANI WANANCHI TUNAJUA KINACHOENDELEA!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Haya yataisha tu maana Lukuvi anaona Serikali kama ya kwake ....Ningekuwa Mimi Vicent Nyerere hakika nisingeendelea kusoma hotuba hiyo.
 
Well done spike, mambo yaliyoko mahakamani hayahitajiki kutajwa ndani ya bunge lako tukufu, kwani mambo ya kuaibisha bunge kama haya yasiruhusiwe kwamwe kulichafua bunge lako. Simama imara spika kama ulivyo , vibaraka wa waingereza wasikubabaishe kwani kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji

Nina mashaka na jinsia zako, yaelekeaunazombili kabisa.
 
Hapa nashangaa kidogo, hivi vyombo vya habari vikiwa kisutu na kutangaza mwenendo wa kasi, huwa vinazungumzia jambo lilikomahakani au nje ya mahakama?
 
You are a silly man talking silly things in a silly season!

Well done spike, mambo yaliyoko mahakamani hayahitajiki kutajwa ndani ya bunge lako tukufu, kwani mambo ya kuaibisha bunge kama haya yasiruhusiwe kwamwe kulichafua bunge lako. Simama imara spika kama ulivyo , vibaraka wa waingereza wasikubabaishe kwani kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
 
kumbe keissy alivyotaka kugombea ubunge kwa cdm wakamwambia sio raia wa hapa alivyohamia ccm wakakubali kua ni raia...daah sijawahi ona chama chenye mabavu na udikteta kama hiki...
 
Lukuvi ni mtupu kichwani,
Gwaride la chipkizi ndo limemfikisha hapo,
Elimu yake ya juu kabisa ni Certificate,
ya Ualimu shule ya msingi,
Hana uwezo wa kutafsiri sheria,
Zaidi ya ubabaishaji.
Vicent ana elimu gani?
kasulumbayi je?
tafakari
 
kumbe keissy alivyotaka kugombea ubunge kwa cdm wakamwambia sio raia wa hapa alivyohamia ccm wakakubali kua ni raia...daah sijawahi ona chama chenye mabavu na udikteta kama hiki...

Hata yeye alicheka kwa hilo mara baada hotuba kusomwa.........CCM Mwisho wao utafika tu
 
Hivi kama kuzungumzia suala lililo mahakamani ni kosa, kwa nini Raisi sio tu alizungumzia bali alitoa fatwa juu ya suala la mgomo wa madaktari lililoko mahakamani? Au Raisi yuko juu ya sheria?
 
But Massage sent and delivered.CCM hiyo inanyong'onyea kama nawaona 2015!
 
Enyi wagalatia ni nani aliyewaloga? Mmh nadhani tunaotoa michango hapa jf kama jukwaa hili siku tukionana live lazima pachimbike. Mchango wa maandishi tu tunakuwa wakali pia mlio kwenye tv njooni hapa jf mkiwa mnatujuza vizuri,yaliyojiri ili nasi tuchangie pia tukijua kisemwacho.
 
Back
Top Bottom