Elections 2010 Kiyabo "arejea" CCM

Kwa kweli huyu bwana ni tahaira. Hapa ndo mtu unaiona nja ya mtu ikoje, huyu bwana ni wazi anatumiwa na MAFISADI. Wameona Mpendazoe ni tishio wameamua kuweka mpayukaji. HATUDANGANYIKI!!!!
 
Well, possibly this is the onlyh line of attack he has on Mpendazoe......... Anasahau kampeni bado muda almost mwezi na nusu. By the way unawezaje kuanza kuzungumzia masuala ya familia ya kaka yako kwenye siasa??????

Hii inaonyesha ni jinsi gani huyu jamaa alivyo mtupu na mkosefu wa maadili. Hivi CCM kama chama kikongwe na kinachojidai kukubalika inakuwaje kinakuwa na wapiga debe wa aina hiiiiiiii? Kweli siasa za bongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kyabo kwetu means zuzu, hivi huyu jamaa anafikiri anaweza kusimama mbele za watu akaongea kitu wakamwamini, ameonekana ni malaya wa siasa. Kila mwanaume anaetembea nae hamlipi anaishia kutafuta mwanaume mwingine, na huyu aliekuwa naye sasa (CCM) ni mgonjwa wa ukimwi na ndicho atakachoambulia.
 
wakuu kukaa kimya ni jibu na mjinga kama k..na vile hata jina lake nimelisahau kaka mpendazoe wala usihofu sisi wana segerea tupo nyuma yako hatudanganyiki na vijimane vya huyo mwenye njaa.
 
Amelipwa fedha kuichafua chadema na kumchafua Mpendazoe asishinde. He is hypocrites watu kama hawa deserves death... Kiyabo, you are slugish rat!!!
 
Well, possibly this is the onlyh line of attack he has on Mpendazoe......... Anasahau kampeni bado muda almost mwezi na nusu. By the way unawezaje kuanza kuzungumzia masuala ya familia ya kaka yako kwenye siasa??????

Hii inaonyesha ni jinsi gani huyu jamaa alivyo mtupu na mkosefu wa maadili. Hivi CCM kama chama kikongwe na kinachojidai kukubalika inakuwaje kinakuwa na wapiga debe wa aina hiiiiiiii? Kweli siasa za bongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Iliyobaki ni wananchi wachambue. Kama mtu yuko radhi kuanika siri za familia yake kwa sababu tu ya pesa atakayopewa na Makamba, itakuwaje akipewa majukumu ya kutumikia wananchi ambao inabidi awalinde dhidi ya adui.

Ingekuwa suala la familia ya kakake ina uhusiano na Ufisadi wa nchi sawa. Lakini mambo yako nje kabisa.

Kila mtu anajua familia yake ina tatizo gani, na anajua jinsi ya kuyatatua mwenyewe, haya hayana uhusiano wowote na Mpendazoe kutumikia wana Segerea?

Yeye 'Kiyabo' ashukuru kama familia yake haina matatizo, lakini hiyo dhambi ya kutangaza matatizo ya ndani ya familia ya kakake hakika itamwandama. Ipo siku, ila simwombei.
 
CCM hoyeeee!!!
siasa vyumba vya kulala wageni hoyeee
siasa za ndani ya magauni hoyeeee!!
 
Aibu tupu! Unaombaje uongozi wa jamii, ilhali nyumba yako inakushinda kuongoza?
Is that you? .ooh! nimesahau, yeah, ni wewe.......wote akili zenu zinafanana.
Makamba alibaka akafukuzwa uwalimu mkuu!.......Mtendaji mkuu wa CCM
 
Aibu tupu! Unaombaje uongozi wa jamii, ilhali nyumba yako inakushinda kuongoza?

Na huyo mgombea wenu ambaye mkewe anaogopa hata kumuacha na bitiye wa kumzaa???Mnawezaje kumpa uongozi wakati hata mkewe hamwamini..
 
Aibu tupu! Unaombaje uongozi wa jamii, ilhali nyumba yako inakushinda kuongoza?

duh! amekweli amakweli hauoni kundule kama wahenga walivyosema.

aah, acha tuu nisiseme manake huko ccm hata juzi tu tumesikia habari za mkulu
aliyetelekeza familia.
 
Mpendazoe should keep his head up... not to be distracted by this calculated mud slinging!!
 
I hate the way issues are reported in this Govt newspaper nowadays. wanaonesha waziwazi walivyo pro-CCM
 
Mwanzo niliwambia watu kuwa CCJ itakufa vibaya kwani ina 'pandikizi' Kiyabo sikusikilizwa. Naona sasa ndo watu mnaanza kumfahamu.

Hana tofauti na pandikizi mwingine Yona Maro (shy) katika Friends of Slaa.

Sijui kwanini watu huwaamini watu wa namna hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom