Kiwila kwafuka moshi

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimepata taarifa toka kwa mtu aliye mbeya mjini kuwa kuna maandamano ya wafanyakazi wa kiwila coal mine ati wana miezi minne hawajapata mishahara yao.Mwenye nondo zaidi mwaga hadharani
 
Back
Top Bottom