kiwewe cha waziri Mkuchika

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Imekuwa kama vile serikali ya Kikwete ni serikali yenye mikosi vile, kwa maana kila jambo wanalojaribu kulifanya hawaachi kukosea.wakitaka kuboresha Elimu ya juu wanakosea,wakitaka kuboresha michezo wanakosea,yaani wao kazi yao ni kukosea tuu kila siku!

jana wakati akiongea na wafanyakazi wa TBC yaani shirika linalojaribu kuwa la habari Tanzania, kwa sababu mpaka sasa ni kama vile ni shirika la habari la CCM, Waziri wa Habari George Mkuchika alisema mambo mawili yaliyonichanganya hadi kutaka kutafiti kwa wana JF.

kwanza alisema kuwa CNN ni shirikal la habari linalomilikiwa na serikali ya Marekani kitu ambacho najua si sahihi. Sasa kama kuna mtu ana ushahidi kwamba CNN ni shirika la habari linalomilikiwa na serikali ya Marekani anitoe tongotongo!

Pili mkuchika anadai kuwa Mao Tse Tung aliwahi kusema kuwa "No investigation No right to speak" mimi nadhani mao alisema "No research No right to Speak. Sasa kama kuna mtu atatuthibitishia kwamba haya maneno mawili yaani "Research" na "Investigation" yana maana moja nitashukuru sana.

Mkuchika alikuwa anatetea dhana ya serikali kuendelea kumiliki vyombo vya habari dhidi ya hoja za wadau wengine wanaotaka serikali iviachie vyombo hivyo viwe huru na kumilikiwa na Umma.
 
kwenye suala la CNN siyo kazi.. inamilikiwa na Ted Turner... Bilionea mliberali...Shirika la habari linalomilikwa na Serikali ya Marekani linaitwa Voice of America.. na mara ya mwisho kuona Cable news ya Voice of America marekani au kupick their radio station ni lini... Hicho ndicho chombo pekee cha propaganda na hawatangazi ndani ya Marekani per se.. ila ni kwa ajili ya soko la nje...
 
Hivi Ted Turner bado ni mmiliki?
Najua yeye ni mmoja wa waanzilishi lakini sina uhakika kama bado anamiliki CNN....
 
Na kuhusu "Investigation" na "research" napenda kukuambia kwa kingeleza changu cha WASITANI yako sawa ila kama kuna mtu ansema hayo sawa atuelimishe.
Miye naona hapo KAPATIA/WaMEPATIA for once.
 
Hivi Ted Turner bado ni mmiliki?
Najua yeye ni mmoja wa waanzilishi lakini sina uhakika kama bado anamiliki CNN....

Ngabu,

Ted sio solely owner wa CNN kama ulivyosema lakini ana shares za kutosha za time warner kuitwa mmiliki wa CNN? Ni kweli yeye ni mmoja wa waanzilishi wa CNN.
 
Imekuwa kama vile serikali ya Kikwete ni serikali yenye mikosi vile, kwa maana kila jambo wanalojaribu kulifanya hawaachi kukosea.wakitaka kuboresha Elimu ya juu wanakosea,wakitaka kuboresha michezo wanakosea,yaani wao kazi yao ni kukosea tuu kila siku!

jana wakati akiongea na wafanyakazi wa TBC yaani shirika linalojaribu kuwa la habari Tanzania, kwa sababu mpaka sasa ni kama vile ni shirika la habari la CCM, Waziri wa Habari George Mkuchika alisema mambo mawili yaliyonichanganya hadi kutaka kutafiti kwa wana JF.

kwanza alisema kuwa CNN ni shirikal la habari linalomilikiwa na serikali ya Marekani kitu ambacho najua si sahihi. Sasa kama kuna mtu ana ushahidi kwamba CNN ni shirika la habari linalomilikiwa na serikali ya Marekani anitoe tongotongo!

Pili mkuchika anadai kuwa Mao Tse Tung aliwahi kusema kuwa "No investigation No right to speak" mimi nadhani mao alisema "No research No right to Speak. Sasa kama kuna mtu atatuthibitishia kwamba haya maneno mawili yaani "Research" na "Investigation" yana maana moja nitashukuru sana.

Mkuchika alikuwa anatetea dhana ya serikali kuendelea kumiliki vyombo vya habari dhidi ya hoja za wadau wengine wanaotaka serikali iviachie vyombo hivyo viwe huru na kumilikiwa na Umma.

Sihoni chembe za kiwewe cha Mkuchika. Ila naona jitihada za makusudi za Kigarama katika kuchimba uchafu wa maneno ya Mkuchika na hivyo kumpaka tope kwa kulazimisha.

Kigarama, neno kumiliki ni neno la kufikirika na laweza kuwa na maana tofauti katika mazingira tofauti. Ukiniuliza endapo Tz tunamiliki madini na mali asili yalivyo ndani ya Tz, nitakujibu HAPANA, ukimuliza mwingine anaweza kukujibu NDIO. In short, influence inapokuwa kubwa ownership inapoteza umaana wake. Hivyo basi kama Mkuchika ameona kwamba influence ya serikali ya Marekani kwenye contents za CNN ni kubwa, ana kila sababu ya kusema kwamba CNN inamilikiwa na serikali ya Marekani.

Kadhalika naona unajaribu kumsulubu Mkuchika kwa maneno ya Mao ambayo kwangu naona kayatumia ipasavyo, given hakuwa anasoma moja kwa moja maneno ya Mao kutoka kitabuni.

NO research No right to speak, No investigation no right to speak, kwa content aliyokuwa anazungumzia sentensi hizo zina maana moja. Maana ni kwamba kama huna ushahidi wa kisayansi au uliopatikana kwa njia za kisayansi huna haki ya kusema. Sasa ushahidi wa kisayansi waweza kupatikana kwa research au investigation.

JF napaheshimu, ila naomba tujitahidi kukosoa kile kinachokosoleka.
 
INVESTIGATION-an examination or inquiry into something, especially a detailed one that is undertaken officially, or the act of undertaking an examination RESEARCH - methodical investigation into a subject in order to discover facts, to establish or revise a theory, or to develop a plan of action based on the facts discovered
 
Hivi Ted Turner bado ni mmiliki?
Najua yeye ni mmoja wa waanzilishi lakini sina uhakika kama bado anamiliki CNN....

Siyo mmiliki yeye ni minority shareholder na kama sikosei hivi karibuni aliuza share zake zote alizobakia nazo miaka ya karibuni. Alisema uamuzi wa kuwakaribisha Time Warner holdimgs kuwa shareholders wa CNN ulikuwa ni wa makosa makubwa sana na ataujutia milele for the rest of his life.

http://money.cnn.com/magazines/fortune/fortune_archive/2003/05/26/343113/index.htm
 
Siyo mmiliki yeye ni minority shareholder na kama sikosei hivi karibuni aliuza share zake zote alizobakia nazo miaka ya karibuni. Alisema uamuzi wa kuwakaribisha Warner brothers kuwa shareholders wa CNN ulikuwa ni wa makosa makubwa sana na ataujutia milele for the rest of his life.

Kwa hiyo minority shareholder haitwi mmiliki?
 
I think the "kiwewe" is being overblown. On research and investigation, even myself being the sometimes obsessive trivialist would not see that as an issue. the two are easily interchangeable.

About Ted Turner being an owner, he is technicaly right.He did not say sole owner or majority owner, just owner.It could be a misleading half truth, but it is not wrong.

Kama tunataka kumkoma nyani we have to do better than this.I believe it should not be that hard to catch a Mkuchika goof, call me prejudiced or anything but I know for a fact they all walk with their feet in their ndomos.
 
I thought somebody in here said that he sold everything (every share)....which makes him neither sole, minority, nor majority owner. Therefore he doesn't own a single thing as far as CNN is concerned but he remains the founder.
 
...Mkuchika alikuwa anatetea dhana ya serikali kuendelea kumiliki vyombo vya habari dhidi ya hoja za wadau wengine wanaotaka serikali iviachie vyombo hivyo viwe huru na kumilikiwa na Umma.

Kigarama, naomba source ya hii ripoti, nione kama wana mnukuu au ni tafsiri yao. Kama ulimsikia wewe mwenyewe, naomba nipe nukuu ya alichosema.

Tatizo la ripoti hii ni kwamba Tanzania haikatazi Umma kumiliki vyombo binafsi, na hata sikumbuki kama viliwahi kukatazwa. Hata wakati ule wa Mzalendo, Uhuru, Daily News na Mfanyakazi kulikuwa kuna magazeti binafsi kama Lengo.

Pia, katika hao wanao ruhusiwa kumiliki vyombo vya habari, hata Serikali imo. Ni lazima iwepo kwa sababu kuna vitu ambavyo ni lazima vitangazwe kwenye gazeti la Serikali, kama vile miswada ya Bunge. Na japokuwa humo ndio Serikali huwa zinaweka propaganda zake, hakuna mtu serious anayepinga hilo.

Kwa hiyo kabla hatujaanza kujadili ulichosema amesema Mkuchicha , nataka kujua alichosema Mkuchicha.

Sina imani na Magazeti ya Bongo hata kidogo. Angalia yalivyo tingishwa na RA. Tanzania hakuna Media!
 
I thought somebody in here said that he sold everything (every share)....which makes him neither sole, minority, nor majority owner. Therefore he doesn't own a single thing as far as CNN is concerned but he remains the founder.

That's correct.

Baada ya dili ya Time-AOL kwenda south beyond repair, Ted aliuza shares zote. Na kwa sasa hana chochote time warner na hivyo kumfanya asiwe mmiliki wa aina yoyote ile wa CNN ingawa yeye ndiye alianzisha.

Katika hili, aliyesema Ted sio mmiliki wa CNN yuko right kwa maoni yangu.
 
Hata mimi nilidhani kuwa sio owner (wa aina yoyote) tena kwa sababu nilikwenda kwenye luncheon moja aliyokuwa ana keynote hapa ATL na kumsikia akisema ameuza kila kitu CNN....it's all good
 
Alikuwa na 105m shares, kauza 60m kabakia na 45m ambazo ni sawa na 1%

Corpfin Worldwide

TARGET: AOL Time Warner Inc

LAST UPDATE: January 17, 2008
ANNOUNCE DATE: May 7, 2003
CLOSE DATE: May 7, 2003

DEAL NO.: 196148

* * * * * * * * * * * * * * TRANSACTION SUMMARY * * * * * * * * * * * * * *

MAIN DEAL TYPE: Divestment
DEAL SYNOPSIS: Ted Turner, vice-chairman and shareholder of AOL Time Warner Inc, New York, US, the media, publishing, communications and entertainment group, disposed of 60m shares in the company through Goldman Sachs. Deal value approximately $784US.2m (GB£487.03m). As a result, Ted Turner now holds 45m shares in AOL, or about 1%.

ADVISOR DETAILS:
Goldman Sachs

Consideration (in millions) USD 784,200,000

* * * * * * * * * * * * * * * * TARGET DETAILS * * * * * * * * * * * * * * * *

Name AOL Time Warner Inc
Address 75 Rockefeller Plaza, New York, New York, 10019, USA
Phone 1 212 484 8000
Fax 1 212 956 2847
Web www.aoltimewarner.com
Product Line Conducts operations in cable systems, interactive services, publishing, music, cable networks and filmed entertainment
Ownership Public
Ticker AOL
CUSIP 00184A105
Exchange New York
Industry Communications; Computer Software, Supplies & Svcs.
NAICS Code 51331 - [Description not available]
51321 - [Description not available]
514191 - [Description not available]
51211 - Motion Picture and Video Production
51312 - [Description not available]
51322 - [Description not available]
SIC Codes (US 1987) 4822 - Telegraph & other communications
7375 - Information retrieval services
SIC Codes (UK 1992) 6420 - [Description not available]
7240 - Barber Shops

Company Accounts
(in millions)
CURRENCY Sterling Euro USD
TIC 487.031 697.850 784.2
REVENUE - - -
PROF_BFTAX - - -
PROF_AFTAX - - -
EV - - -
EBIT - - -
EBITDA - - -

LOAD-DATE: January 17, 2008
 
Hata mimi nilidhani kuwa sio owner (wa aina yoyote) tena kwa sababu nilikwenda kwenye luncheon moja aliyokuwa ana keynote hapa ATL na kumsikia akisema ameuza kila kitu CNN....it's all good

That is true. Kuna siku alikuwa anahojiwa na CNBC akasema kuwa kama angefanya tena uamuzi wa kuanzisha cable news television basi angefanya tofauti. Jamaa wa FOX walimshikia bango kuwa anapondea cable television.

All in all, CNN haimilikiwi na serikali na katika hili Mkuchika amekosea.
 
Hata mimi nilidhani kuwa sio owner (wa aina yoyote) tena kwa sababu nilikwenda kwenye luncheon moja aliyokuwa ana keynote hapa ATL na kumsikia akisema ameuza kila kitu CNN....it's all good

Turner was vice chairman and Time Warner's biggest stock holder. Turner was to endorse the disasterous merger with AOL. It is estimated he lost as much as $8 billion when the stock collapsed in the wake of the merger. He stepped down as vice chairman in 2006. When questions have been put to him about buying back his former assets, he always replied that he can't afford them now

Source
 
Ric Feld / AP
**FILE** CNN founder Ted Turner reacts as he speaks about Gerald Levin, the former CEO of AOL Time Warner, while speaking at the CNN 25 World Report Conference in Atlanta in this Wednesday, June 1, 2005 file photo.
--------------------------------------------------------------------------------

Captain Outrageous. The Mouth from the South. The Cable Guy.

Entrepreneur and philanthropist Ted Turner has attracted his fair share of names during his life, but he's also been a trailblazer, from his founding of the all-news TV network CNN to the revival of the American Buffalo herd and now -- perhaps -- the establishment of solar energy as a viable alternative fuel. (Not that he didn't already have exquisite green credentials.)

Turner's latest venture comes after years of distancing himself from the AOL-Time Warner mega-merger, an event that that made him one of the richest men in the world and then, as the new company floundered, a very frustrated vice chairman and entrepreneur, whose historic billion-dollar stock pledge to the United Nations eroded in value.

Turner's no longer involved in Time Warner -- nor does he own a single share of the company -- but he continues in his entrepreneurial ways.

Turner bought a stake in the New Jersey-based company, DT Solar, and is bullish about the industry's prospects. "It's gonna’ be the biggest business opportunity the world has ever seen," he says. Turner, for the record, is not a proponent of corn-based ethanol.

Thinking SolarAdvanced Micr...AMD6.009-0.011-0.182,783,284Ceradyne IncCRDN39.880.40+1.01,190,061

On a less grand scale, Turner has joined the famous in becoming a restaurateur, launching the "Ted's Mountain Grill" chain, which specializes in bison meat for those health conscious consumers with a passion for burgers.

And whether it is thoughtful food or food for thought, Turner is ever ready to share his thoughts on a number of subjects from the media business to nuclear disarmament to philanthropy and moguls, particularly Oracle's Larry Ellison.

CNBC reporter Jane Wells visited Turner in Atlanta. Here are excerpts of her wide-ranging interview.

Ted Turner's New Venture
Ted Turner no longer owns a single share of Time Warner, and he said he has moved on to something much bigger. CNBC's Jane Wells interviewed Turner and has the details.
Tues. Mar. 6 2007 | 8:20:00 AM [04:06]

What's Firing Up Ted Turner?
Ted Turner is investing in solar power and restaurants, CNBC's Jane Wells reports.
Tues. Mar. 6 2007 | 1:46:00 PM [02:49]

© 2008 CNBC, Inc. All Rights Reserved

Source:

http://www.cnbc.com/id/17480880
 
Back
Top Bottom