Kiwewe cha Mwema na watu 50

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
arushalema.jpg
images


IGP Mwema na polisi wa Tanzania msionyeshe weakness ya jeshi kwa vitukio vidogo kama hivi, nguvu mnayotumia kutawanya wafuasi wasiozidi 50 ingetumika kuwa 'contain' jeshi lenu lingeheshimika na kupendwa na jamii.

Mnapotumia nguvu kubwa kiasi hicho kwa watu 50 tu tena wanaoimba kwa furaha siku watakapokusanyika elfu 50 kwa shari nafikiri busara itahama vichwani mwenu.

IGP na polisi angalieni picha hizi chini mlinganishe na hizo hapo juu halafu mchanganye na busara zenu.

aerial-photograph-protests-in-egypt-cairo-tahrir-square.jpg

Tahrir Square Egypt



Tripol Streets Libya.
 
Hawajifunzi kitu hawa. Wametudharau vya kutosha. Ila ipo siku, kama hawatajirekebisha, kwa hakika ipo siku tutakusanyika hivi hivi kama tahriri.
 
Mwema anajua kupiga SALUTE kwa Lowasa tu kama alivyofanya jana Gongo la Mboto
 
Duh.......hii sasa dharau!!!!yani mnatudharau hivihivi????time will come
 
Anapiga salute kwa fisadi anadhani atampa upendeleo akipata Urais!! Lowassa hata kuwa rais hata jua likitokea kaskazin
 
very pathetic kwa jeshi la siku nyingi kushindwa kusoma mazingira na kufuatilia mambo! je siku akiona wananchi wamejikusanya pembeni mwa barabara wanamshangilia jk atawapiga mabomu?
 
Back
Top Bottom