Kiwanjwa kinauzwa burka arusha

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
5,113
3,116
Kiwanja kinauzwa eneo la burka block a,ukumbwa ni medium density. Ni eneo zuri mnoo lenye mpangilio wa makazi. Kwa maelezo zaidi tuma pm.
 
wakuu ni 30 kwa 30 kwa upana na urefu . bei ni milioni 30 ila mazungumzo yapo sana tu.
 
lakini nasikia majamaa wa mawe wamevimaliza.........


kweli vimeisha ila watu walionavyo ndio wanaviuza kutokana na matatizo yao binafsi. si unajua maisha yanabadilika preta ?
 
akina yahe tutatafuta kwa mrombo na kwingineko M30 siyo mchezo huu ni mshara wa miaka migapi vile..lol

kama unasubiri kwa Mrombo umechelewa.......saa hizi watu wanaenda Terat, Murieti....Mkonoo.....na kule Themi Lucy.....
 
kama unasubiri kwa Mrombo umechelewa.......saa hizi watu wanaenda Terat, Murieti....Mkonoo.....na kule Themi Lucy.....

mkonoo nako hakushikiki eti yaani mambo yanazidi kubadilika kwa haraka mnoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom